Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Sio tokea ndege ya Marekani itunguliwe na Meli za mafuta za Uingereza zitekwe maeneo ya Ile ghuba ya Uajemi. Iran kashatengeneza maadui wengi upande wa Magharibi. Watamvamia kama Libya.Act Of War Ilikuepo Toka Walipovamia Ubaloz wa US IRAQ US=PAPER TIGER
Sent using Jamii Forums mobile app
Weupe kichwani wameweza kurusha kombora kutoka nchi mpaka nchi wewe mweusi kichwan hata kurusha risasi mkoa mpaka mkoa unashindwaMpak sasa graph inasoma Us 50 Iran 0 , Kwanza Kwa status ya Yule Mkuu wa majeshi aliyeuawa Iran inatakiwa iue mtu wa status hyo hyo toka marekan , ikishindikana aue Us soldiers 50K ndo thaman ya Yule Mkuu wa majeshi , cha kushangaza kashambulia Iraq tena kapiga offtarget, matokeo ya kukurupuka na mihemko na hii ni Kwa sababu watu wa Iran shule hamna ni weupe tuu kichwani
US = PAPER TIGER.....Marekani kashambulia mtu ambaye ametoka airport yupo kwenye usafiri wa kawaida anaenda kuonana na kiongozi wa Iraq, wakati Iran wao wameshambulia base yenye mpaka mifumo ya kujilinda na makombora.sasa hapo nani mkali?
Alafu wanatuambia kuwa wana uwezo wa kuzuiya ICBM wakati balistic missile zimewatoa jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yako mjamzito?cnn wameripoti zaidi ya wanajeshi 80 wa us wamekata moto na 200 mahututi ndege zisizo na rubani sita na helkopta saba kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ile ya kuuwawa kwa contractor wao walisema!Siku zote marekani hajawahi kuwa mkweli kwa hiyo tusitegemee kupata taalifa zakweli kuhusu madhara yaliyo tokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weupe kichwani wameweza kurusha kombora kutoka nchi mpaka nchi wewe mweusi kichwan hata kurusha risasi mkoa mpaka mkoa unashindwa
Machuma chuma ya US Yamechemka Kuzilinda Kambi Zao Ziainyooshwe [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunachotaka kujua nikwamba machuma chuma ya US yameshindwa Kuzilinda Kambi Zao Zilizopo IRAQ Kikinuka Tunazichakaza ZoteeIran kajuaje kuwa wanajeshi wa marekani wamekufa wakati yeye hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tukuamini wewe unayesema hamna victims au jeshi la Marekani ambalo bado limesema wanafanya uchunguzi?Mkuu unapenda vifo eeeh? Iran sio wajinga kama unavyodhani boss hawatacheza karata nyeusi hiyo. Wanachofanya ni defense not offense....... Wanajua wakiua wanajeshi au raia wa marekani kwa silaha watakua wameingia kwenye vita kamili. Na lazma ujue hapa kuna uhalisia na propaganda wew chagua utakula kipi lakini nikuhakikishie kungekuwa na vifo vya wanajeshi wa US kwenye hili shambulio la Iran tungekuwa na WW3 tayari asubuhi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui unachoomba. Kwa sasa sekta ya utalii inachangia kwa kiasi kikubwa mapato ya fedha za nje kuliko sekta yoyote; kumbuka ustawi wa sekta hii unategemea sana UWEPO WA AMANI DUNIANI sasa wewe unaposhabikia vita unafahamu madhara tutakayopata kama Taifa?
Trump kawa mdogo kama piriton hakutegemea kitu kama hii kabisa
Nasikia hajui hata afanye nini maana kila anachopanga kufanya anaona ndio atazidi kuharibu kabisa