Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Unavyosema hamna mtu aliyekufa umepata wapi hizo taarifa?Vitu vingine vinachekesha kweli yani roketi zaidi ya 10 hawajaua hata mtu mmoja?Hii ni aibu.Kwa taifa lenye nguvu ya kivita Tungeshajua mpaka sasa wanajeshi 120 wa marekani wamefariki huku wengine 60 wakiwa hawajitambui.Sasa wao hata 1 wameshindwa kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app