Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
US hata wakiuwawa wanajeshi 500 hawawezi kukupa idadi hiyo lazima wakupr angalau ten percent, watakuambieni ni wanajeshi 50 tu ili ku save face kutokana na bragging kuwa wao ni superior. Msiziamini hizi stats zao, inawezekana idadi ya casualities ni kubwa kuliko inayosemwa.Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,
Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.