Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpak sasa graph inasoma Us 50 Iran 0 , Kwanza Kwa status ya Yule Mkuu wa majeshi aliyeuawa Iran inatakiwa iue mtu wa status hyo hyo toka marekan , ikishindikana aue Us soldiers 50K ndo thaman ya Yule Mkuu wa majeshi , cha kushangaza kashambulia Iraq tena kapiga offtarget, matokeo ya kukurupuka na mihemko na hii ni Kwa sababu watu wa Iran shule hamna ni weupe tuu kichwani
Weupe kichwani wameweza kurusha kombora kutoka nchi mpaka nchi wewe mweusi kichwan hata kurusha risasi mkoa mpaka mkoa unashindwa


Machuma chuma ya US Yamechemka Kuzilinda Kambi Zao Ziainyooshwe [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marekani kashambulia mtu ambaye ametoka airport yupo kwenye usafiri wa kawaida anaenda kuonana na kiongozi wa Iraq, wakati Iran wao wameshambulia base yenye mpaka mifumo ya kujilinda na makombora.sasa hapo nani mkali?

Alafu wanatuambia kuwa wana uwezo wa kuzuiya ICBM wakati balistic missile zimewatoa jasho

Sent using Jamii Forums mobile app
US = PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndio alisema tuuane mpaka tumuachie? Mungu anasubiri tumalizane kwa aupumbavu wetu maana alisema haangamizi tena kwa moto wala maji. Binadamu ambao aliwapa akili ndio wamekuwa wapumbavu kuliko viumbe alivyotaka vitawaliwe na binadamu. Acha Mungu apumzike alisha fanya mengi tunachotakiwa kufanya kwake ni kumuamini na kumuabudu.
 
Vitu vingine vinachekesha kweli yani roketi zaidi ya 10 hawajaua hata mtu mmoja?Hii ni aibu.Kwa taifa lenye nguvu ya kivita Tungeshajua mpaka sasa wanajeshi 120 wa marekani wamefariki huku wengine 60 wakiwa hawajitambui.Sasa wao hata 1 wameshindwa kuua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weupe kichwani wameweza kurusha kombora kutoka nchi mpaka nchi wewe mweusi kichwan hata kurusha risasi mkoa mpaka mkoa unashindwa


Machuma chuma ya US Yamechemka Kuzilinda Kambi Zao Ziainyooshwe [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran kajuaje kuwa wanajeshi wa marekani wamekufa wakati yeye hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunachotaka kujua nikwamba machuma chuma ya US yameshindwa Kuzilinda Kambi Zao Zilizopo IRAQ Kikinuka Tunazichakaza Zotee

Halafu Unaelewa Maana ya Ujasusi Au Unahisi Ujasusi Haupo?


Polen Asee


US = PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapenda vifo eeeh? Iran sio wajinga kama unavyodhani boss hawatacheza karata nyeusi hiyo. Wanachofanya ni defense not offense....... Wanajua wakiua wanajeshi au raia wa marekani kwa silaha watakua wameingia kwenye vita kamili. Na lazma ujue hapa kuna uhalisia na propaganda wew chagua utakula kipi lakini nikuhakikishie kungekuwa na vifo vya wanajeshi wa US kwenye hili shambulio la Iran tungekuwa na WW3 tayari asubuhi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tukuamini wewe unayesema hamna victims au jeshi la Marekani ambalo bado limesema wanafanya uchunguzi?
 
Nimesikia nimesikia, sasa usiniangushe, nakuomba

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui unachoomba. Kwa sasa sekta ya utalii inachangia kwa kiasi kikubwa mapato ya fedha za nje kuliko sekta yoyote; kumbuka ustawi wa sekta hii unategemea sana UWEPO WA AMANI DUNIANI sasa wewe unaposhabikia vita unafahamu madhara tutakayopata kama Taifa?
 
Trump kawa mdogo kama piriton hakutegemea kitu kama hii kabisa

Nasikia hajui hata afanye nini maana kila anachopanga kufanya anaona ndio atazidi kuharibu kabisa

Iran ilitanganza no fly zone kwa hiyo ndege yoyote ikikatiza wanalipua. ndege ya Ukraine imeanguka mda mfupi baaada ya kuruka wamarekani wanadai ni Iran imeitungua; yaani US antafuta huruma
 
BASIASI,
Iran nyuklia itoe wapi? Ndo wanafanya mchakato wa kutengeneza lakini hawana nyuklia bado. Nchi za magaharibi zimeikalia kooni kuizuia!
 
Kuna watu wanamchukulia poa sana muiran.
Vita haina uzoefu wala mwenyewe
Ingekua hivyo baadhi ya mataifa makubwa huko nyuma yasingeanguka na kupigwa mazima
 
Back
Top Bottom