Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Unavyosema hamna mtu aliyekufa umepata wapi hizo taarifa?Vitu vingine vinachekesha kweli yani roketi zaidi ya 10 hawajaua hata mtu mmoja?Hii ni aibu.Kwa taifa lenye nguvu ya kivita Tungeshajua mpaka sasa wanajeshi 120 wa marekani wamefariki huku wengine 60 wakiwa hawajitambui.Sasa wao hata 1 wameshindwa kuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata source za vyombo vya Iraq zinasema hivyo!Hizo story 2, wamarekani walikufa wengi Vietnam lakin yeye akasema wachache, so husitegemee taarifa yoyote ya ukwel kuhusu vifo vya wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamba Wamarekani hawafi au?Propaganda za waarabu! Uue wamarekani 80 kiboya hivyo?
Mbona walishawahi kuuwawa 300 na hakufanya kitu?Propaganda za waarabu! Uue wamarekani 80 kiboya hivyo?
CNN ipi mkuu, upo dunia hii au jupiter??cnn wameripoti zaidi ya wanajeshi 80 wa us wamekata moto na 200 mahututi ndege zisizo na rubani sita na helkopta saba kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Furahini mashabiki wa Iran ....
Tuna vifaa vyenye nguvu na tumejidhatiti vizuri Kijeshi kuliko yeyote Duniani”
Kiduku alishasema yeye atapiga pale New York na Nyuklia kabisa.
Umeitoa wapi?Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,
Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.
Wamenunua kutoka wapi ?!Iran wapuuzi
Ebu fikiria wametumia mabilion ya dollar kununua silaha halafu wanapiga off target?
View attachment 1315630
It's Scars
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dah watu mnatamani vitaa,,,Vita kamwe haiwezi tokeaa soon tu inazimishwa alafu ukumbuke,,,,,marekani Hana shida saaana na Iraq saana anawataka wale masapporter Kama China,urusi na wengine ndio ajichumbue nao kairaq nikama ka catalyst [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app