Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iranian missiles ware invissible by US radar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli Mchungu Huu Kwa Pro US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wameuawa zaidi ya 80 na tayari baadhi ya nchi zimeanza kuondoa wanajeshi wao nchini Iraq ila mmarekani bado kakomaa anasema haondoi mtu huko.
 
Facts.....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona team kiduku tumehamia team iran.

#TEAMIRAN
 
Ahsante sanaaa kwa update zako MK...Endelea kutujuza...Ukiona jamii forum wameweka thread yako Twitter basi jua it is the best Update..
 
Hawawezi[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Senator Graham kampigia simu Trump na Trump kamwambia kuwa watashambulia Visima vya Mafuta ya Iran ili kukata mrija

Sent using Jamii Forums mobile app
US = PAPEE TIGER

Nilikua Nakwambia Yakwamba IRAN Hawata Cha Damu Ya Soleiman Ipite Bila Majibu Nahisi Sasa Umenielewa

Sishabikii VITA Ika Sasa Naanza Kuona Hii VITA Haiepukiki Na US Akijaribu Kuingia Vitani NA IRAN Ndio Byebye


US Base Mashariki Yakati Ni Safeless Na Defenceless Na Machuma Chuma Yao Ni Useless [emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates:

Sent using Jamii Forums mobile app



--My views---
Ni jambo la kushangaza hakuna hata mmarekani mmoja aliyekuwepo kwenye ndege hiyo lakini washirika wa marekani ndio wapiokuwepo.

Hii maana yake nini!?

Anyway, ngoja kwanza black box ipatikane ili tujue chanzo cha ajali LAKINI kwa akili ya kawaida kabisa hii ni kazi ya CIA na trump administration ili kutafuta huruma ya nchi washirika wa marekani.
 
Russia na China ni wanafiki sana Iran akianza kudundwa watakaa pembeni wangojee kulalamika kwenye vikao vyao ili dunia tuwaone ndio wazuri kumbe ni wale wale ila wanakuja kwa njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
RUSSIA na CHINA Hii Shughuli Wala Haiwahusu

Tunataka Tumuonyeshe US Yakwamba Asia Magharibi Sio Kwake Na Atatoka Namwanawe ISRAEL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wameuawa zaidi ya 80 na tayari baadhi ya nchi zimeanza kuondoa wanajeshi wao nchini Iraq ila mmarekani bado kakomaa anasema haondoi mtu huko.
Mh G sam ujue unaaminika Sana humu jf hii ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…