Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Acha blah blah zako.
Unafikiri kuiangusha Marekani ni kitu cha mchezo mchezo. Iran wanajaribu tu, watakachovuna watajuta milele. Siipendi Marekani lakini siwezi kuibeza kwa nguvu zao za kiuchumi, kijamii na kivita. Marekani ni kama maji vile, usipoyaoga utayanywa.

Pia usisahau uwepo wa taifa la Israel leo hii ni matokeo ya kulindwa na Marekani, siku Marekani ikianguka basi ujue na Israel inafutika katika eneo la Mashariki ya kati mara moja.
 
Ushimen Marekani amendoa wananchi wake tu huko Iraq ila wanajeshi wake wapo kama kawaida na ndiyo kwanza wamewaongeza ili kujiandaa kivita, unafikiri Marekan ataweza kuliondoa jeshi lake Iraq? Ili amkabiri Iran akiwa nchi gan ikiwa Saudia ana maslah yake lukuki!

Marekani hakutarajia kama ngome zake zinaweza kufikiwa na makombora Iran, hvi unafikiri hakukuwa na mifumo yakujilinda makombola hapo? Yapo lakin ndo hvo mvua zimepita.

Marekani watutangazie tu wanajeshi wangapi wamekata kamba kama walivyo muua jenerali wa iran.
 
Iran imerusha makombora katika kambi za Wamarekani zilizopo nchini Iraq kama kisasi dhidi ya mauaji ya jenerali Qassem Soleimani.

Wizara ya Ulinzi ya Marekani imesema bado inatathmini uharibifu uliosababishwa na mashambulio hayo kadhaa dhidi ya kambi zake za kijeshi.

"Ni dhahiri makombora haya yamerushwa kutokea Iran na yalilenga kambi mbili za kijeshi", Pentagon imesema.

Hakuna taarifa zozote za walioathiriwa katika mashambulio hayo, huku Pentagon ikieleza kuwa tayari ilikuwa imejiandaa kufuatia vitisho vinavyotolewa na Iran.

=====

Iran fired missiles Wednesday at Iraqi bases used by the US military, officials in Washington and Tehran said, in the first act of the Islamic republic's promised revenge for the US killing of a top Iranian general.

The Pentagon said it was still "working on initial battle damage assessments" after "Iran launched more than a dozen ballistic missiles against US military and coalition forces in Iraq."

"It is clear that these missiles were launched from Iran and targeted at least two Iraqi military bases hosting US military and coalition personnel at Al-Assad and Irbil," the Pentagon said.

There were no immediate reports on casualties but the Pentagon said it had been ready, after days of steadily mounting tension and exchanges of threats of war.

"These bases have been on high alert due to indications that the Iranian regime planned to attack our forces and interests in the region," a spokesman said.

Iranian state television reported an attack on one base housing US personnel, saying it was in response to Friday's killing in a US drone strike of Iranian general Qasem Soleimani, one of the most important figures in the country's government.

Also killed was a top Iraqi commander Abu Mahdi al-Muhandis, who was with Soleimani just outside Baghdad international airport when the US drone struck.

The Iranian Revolutionary Guards announced that the Ain al-Assad base was hit with dozens of missiles, warning that a US counter-attack would be met with an even "more crushing response."

In Washington, US President Donald Trump was "monitoring the situation closely and consulting with his national security team," according to the White House.

Oil prices immediately jumped on the news, with the benchmark WTI spiking more than 4.5 percent to $65.54 a barrel before receding slightly.

- Tension and threats -

The potentially lethal new development followed days of sabre rattling between Washington and Tehran, coupled with growing confusion over the future of US troops in Iraq.

At Soleimani's funeral in Iran, top Revolutionary Guards commander Major General Hossein Salami said Iran would "take revenge."

If further US attacks occur, "we will set fire to what they love," he said.

Trump warned that "if Iran does anything that they shouldn't be doing, they're going to be suffering the consequences and very strongly."

Chanzo: AFP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona waziri wa Pakistan alishasema kuwa hataki kujihusisha na hizo vita?

Warusi nao wanagombana na nani?
Tuwekee hizo snapshot ulizoziona huko mtandaoni warusi wakigombana.

Mbona waziri wa Pakistan alishasema kuwa hataki kujihusisha na hizo vita?

Warusi nao wanagombana na nani?
Tuwekee hizo snapshot ulizoziona huko mtandaoni warusi wakigombana.
 
Tanzania iondoe raia wake mashariki ya kati wabaki a few specilized diplomats! Kuna baadhi ya wanafunzi wa uhandisi walienda Israel, sina hakika kama wamerudi! Hali si nzuri. Uwepo wa Putin Syria hauwezi kutuliza mzuka !?
 
Dunia ya Sasa Ni vigumu kwa nchi yoyote kupambana na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran ni kama Tanzania tu.

Atapigwa achakae ndani ya week tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…