Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Uwezo wa kujibu anao ila anaangalia maslai yake. Watu mnafananisha mavi na mkojo aisee? Embu iran kama ni mwanaume apige kitu pale marekqni muone nini kitatokea


Sent using Jamii Forums mobile app
US Apige Kitu Pale IRAN Nayeye Aone Kambi Zake Zamashariki Yakati Na Carrier Zote Kesho zinafungwa Na Hakuna Hata Panzi Mmoja Atakae Toka


US = PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
Nikisema Kama US = Paper Tiger Watu Wanabisha


Hapo mpaka ISRAEL Wenyewe Wanaona Kaka Mkubwa US Ana tulisha Matangopori[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video ya miaka mitano iliyopita ikimuelezea

Soleiman na ushawishi wa Iran huko Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapozungumzia US ni defenseless in Middle East inatakiwa pia uangalie je Na Iran nayo haitapata madhara ?

Na je ikitokea hivyo vita unayoshabikia ni upande gani utapata hasara kubwa!

*kuna askari mmoja alishawahi kusema usianzishe vita kama hauna nafasi ya kushinda,vita ni mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna vita vya kutisha hapo, Iran ni taifa dogo sana kijeshi kuweza kupambana na Super Power.

Iran ana disadvantage moja kubwa kuwa vita vitapiganwa right in their backyard wakati Marekani yuko thousands of kilometres away bila kusahau kuwa Iran tayari kiuchumi yuko hoi na wananchi wa Iran tayari wakiwa disenchanted na serikali yao.

Iran wataingia vitani definitely wakiwa the underdogs with the inexperienced and poorly equipped army hali atakayowafanya wategemee zaidi msaada wa magaidi wa kiislam kuliko kupambana kwenye conventional combat.

In my view, Iran ni weupe sana kuweza kukabiliana na Marekani in open military warfare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…