Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,516
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mtu mzima keshaanza kuchezea mabanzi mapema sana hata kabla jogoo hajawika!?Maandiko yanasema taifa kubwa litakuja kupigwa na taifa dogo. naona inaelekea huko
Mkuu hayo makombora mengine yamepiga katika maeneo ya watu huko Iraq..lakini hakuna madhara makubwa yaliyotokea(source na video ninayo)
Sent using Jamii Forums mobile app
US Apige Kitu Pale IRAN Nayeye Aone Kambi Zake Zamashariki Yakati Na Carrier Zote Kesho zinafungwa Na Hakuna Hata Panzi Mmoja Atakae TokaUwezo wa kujibu anao ila anaangalia maslai yake. Watu mnafananisha mavi na mkojo aisee? Embu iran kama ni mwanaume apige kitu pale marekqni muone nini kitatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema Kama US = Paper Tiger Watu WanabishaNimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
Mmmmmmmmmmh!I can sense what's coming!This is going to be nasty!Pray for our world!Marekani imepiga marufuku Flights zote eneo la ghuba ya Uajemi ...
Soleiman na ushawishi wa Iran huko IraqIran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani
Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo limevamia Uwanja wa Ndege wa Kambi ya Ain al-Asad na kutishia kufanya mashambulio zaidi iwapo Marekani itafanya mashambulio yoyote mapya
Huku ikielezwa kuwa Iran imerusha makombora 13, katika taarifa yake imewaonya pia Washirika wa Marekani waliopo maeneo hayo kuwa nao pia Watashambuliwa iwapo watatumiwa na Marekani katika kuishambulia Iran
Rais Trump pamoja na kusema atatoa taarifa leo, ila kupitia ukurasa wa Twitter amesema “Kila kitu kiko vizuri! Makombora yamerushwa kutoka Iran kwenda kwenye Kambi mbili za Jeshi zilizoko Iraq. Tathmini ya Majeruhi na uharibifu unafanyika sasa. Tuna vifaa vyenye nguvu na tumejidhatiti vizuri Kijeshi kuliko yeyote Duniani”
======
Iran on Wednesday launched a missile attack on an Iraqi airbase where U.S. forces are based, threatening "more crushing responses" if Washington carried out further strikes, Iranian state media said.
It said the missiles were in response to a U.S. strike last week that killed Iranian general Qasem Soleimani and Iraqi top commander Abu Mahdi al-Muhandis.
Security sources told AFP that nine rockets hit the sprawling Ain al-Asad airbase in the country's west, the largest of the Iraqi military compounds where foreign troops are based. The attack came in three waves just after midnight, the sources said.
Iran swiftly claimed responsibility for the attack, with state TV saying it had launched "tens of missiles" on the base and promised "more crushing responses" if the U.S. carried out further strikes.
There were no immediate reports of casualties at the bases.
The Pentagon said Iran had fired more than a dozen missiles against Ain al-Asad and another installation hosting US and coalition forces near Arbil. It said bases hosting foreign troops had expected an attack and had been on "high alert" for days.
U.S. President Donald Trump was "monitoring the situation closely and consulting with his national security team," according to the White House.
The attack came after pro-Tehran factions in Iraq had vowed to join forces to "respond" to the killing of Soleimani and Muhandis last week.
Soleimani was the deputy head of Iraq's Hashed al-Shaabi military network. Many factions within the Hashed, which has been incorporated into the Iraqi state, have ties to Tehran. On Tuesday, a hardline Hashed faction issued its fiercest threat yet to retaliate.
"The U.S. Marines must immediately return to their dens to make their coffins," said Akram al-Kaabi, head of the Harakat al-Nujaba group. "The International Resistance Regiments have been formed in order to execute a harsh, deliberate response to the American terrorist forces."
His deputy had earlier called for an urgent meeting to unite anti-American forces across Iraq. "We will wage a war against the American presence in all parts of the region that we can reach," said Nasr al-Shammary.
U.S. installations across Iraq had faced some 15 rocket attacks in recent months but none had been claimed. As a result, the U.S.-led coalition and NATO announced they were temporarily suspending their operations in Iraq.
UPDATES
80 'US terrorists' killed in attack: Iranian state TV
Iranian state television claimed that at least 80 "American terrorists" were killed in attacks involving 15 missiles Tehran launched on US targets in Iraq, adding that none of the missiles were intercepted. The claim could not be independently verified and the state television did not provide evidence of how it obtained that information.
Citing a senior Revolutionary Guards Corps source, the state television also said Iran had 100 other targets in the region in its sights if Washington took any retaliatory measures.
It also said US helicopters and military equipment were "severely damaged".
Denmark says none of its soldiers wounded or killed
The Danish armed forces said in a Twitter post none of its soldiers were wounded or killed in the missile strike on the Al-Asad airbase.
Denmark has about 130 soldiers at the base as part of the international coalition fighting the Islamic State of Iraq and the Levant (ISIL or ISIS) armed group.
Norway says none of its troops injured or killed
No Norwegian troops were injured or killed in the attack on the Al-Asad air base in Iraq, a Norwegian military spokesman told Reuters news agency.
The country has about 70 soldiers at the base, said Brynjar Stordal at Norway's military headquarters.
No Iraqi casualties in 22-missile attack overnight: military
The Iraqi military said in a statement that 22 missiles were launched on the Ain al-Asad air base and a base in Erbil between 1:45am and 2:15am, but there were no casualties among Iraqi forces.
It said two of the 17 missiles targeting Ain al-Asad base did not go off.
The five on Erbil all targeted coalition headquarters.
No Polish troops hurt: minister
No Polish troops stationed in Iraq were hurt, Poland's Defence Minister said.
"None of the Polish soldiers in Iraq were hurt in rocket attacks on al-Asad and Erbil bases. We are in constant contact with the commander of the Polish Military Contingent in Iraq," Mariusz Blaszczak wrote on Twitter.
Britain condemns attack on military bases
Britain condemned the attacks on military bases in Iraq that hosted US-led coalition forces including British personnel.
"We condemn this attack on Iraqi military bases hosting Coalition - including British - forces," British Foreign Secretary Dominic Raab said.
"We urge Iran not to repeat these reckless and dangerous attacks, and instead to pursue urgent de-escalation."
Pia soma:
Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...www.jamiiforums.com
Weka hiy bideo hapaMkuu hayo makombora mengine yamepiga katika maeneo ya watu huko Iraq..lakini hakuna madhara makubwa yaliyotokea(source na video ninayo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapozungumzia US ni defenseless in Middle East inatakiwa pia uangalie je Na Iran nayo haitapata madhara ?Hawawezi[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]US = PAPEE TIGER
Nilikua Nakwambia Yakwamba IRAN Hawata Cha Damu Ya Soleiman Ipite Bila Majibu Nahisi Sasa Umenielewa
Sishabikii VITA Ika Sasa Naanza Kuona Hii VITA Haiepukiki Na US Akijaribu Kuingia Vitani NA IRAN Ndio Byebye
US Base Mashariki Yakati Ni Safeless Na Defenceless Na Machuma Chuma Yao Ni Useless [emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
US Akirusha Hata Jiwe IRAN Basi Ujue Atapaona Mashariki Yakati PachunguUnataka kuniambia israel naye hayupo tayar kumsaidia US acha kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi Kamili Ni US Ajarb Kujibu Mapigo Aone Kama Mwisho Wahuu Mwezi Kama Hajaikimbia Mashariki Yakati.....Kumbe Hawa iraq hawajaua bro alafu wanajisifu tu hovyo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maneno yakhanga mlobakisha 2 haya hamna Jipya...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]The ball is on USA court.
Hahahahahahahha wanafanyaje tathmini wakati walikuwa wameshaama uongo mwingine bana Raisi kasema kuwa wanafanya tathmin wewe unasema walishaama.Kwanza Uelewe ile Kambi iloshambuliwa,USA walishahama pale palikuwa gofu tu
Ni 15 na siyo 22.pia kuna moja imeripuka karibu na makazi ya watu huko Erbil(ushahidi wa video na source ninavyo)