Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa freedom of women's speech in Iran started after usa eliminated Soleiman!
Big up Trump.
Maana atachapika Mpaka Aione Mashariki Yakati CHUNGU [emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]Mazoea yanaponza.
Nyinyi watu wa maandiko kila siku sijawahi kuwaelewaga,Mnaishi kwenye assumption sana hasa kuhusu mambo ya kiuhalisiaMaandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
Uadui wanamtengenezea wao na upuuzi wao anachofanya MUAJEMI ni Kujilinda 2Sio tokea ndege ya Marekani itunguliwe na Meli za mafuta za Uingereza zitekwe maeneo ya Ile ghuba ya Uajemi. Iran kashatengeneza maadui wengi upande wa Magharibi. Watamvamia kama Libya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Afghanistan waliwahi kusema kuwa America opened a window they can not closeNi rahisi sana kuanzisha vita ila ni ngumu sana kuimaliza vita.
Contractor alisema sababu alikua mmoja hawa waloangushwa kama kumbi kumbi hawez kusema
Nasikia wanajeshi wa USA wamechinjwa kama kuku vile na missile za wa Iran.
Hata Iraq kuvamiwa na marekani tulisema propaganda,ishu ni kwamba trump aliweka redline kwamba raia wa Marekani akiuawa watajibu kijeshi,na habari ni kwamba mpaka sasa hakuna raia wa marekani aliyeuawa wala kujeruhiwa kutokana na shambulio la Iran,na kwa taarifa hiyo Trump kasema so far,so good!Eti walijiandaa..! Marekani kwa propaganda hajambo! Wakati Trump anapiga mikwara twiter si waliamin wataogopa twiter zake!
Halaf hajafa hata mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23]
wamekua 80Ina maana hakuna waliokufa?
Pale LEBANON Waliwaua Zaidi Ya 200s Ila hawakua jivu wala mkaa
US = PAPER TIGER.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaliza kuota uje uandike vyemaIran bana....Marekani kaipiga Iran sio washirika wake. Iran anachopaswa kufanya ni kuipiga ardhi ya Marekani sio kukimbilia Iraq
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika kuwa katika kambi hizo kulikuwa na patriotic missile system?Poleni sana Naona patriot zimepenyeka kiurahisi mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa 80 wakat kule lebanon walichakazwa zaidi ya 200sPropaganda za waarabu! Uue wamarekani 80 kiboya hivyo?