Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Japo umeongea kishabiki. Nitakuweka waz kuhusu kitu kimoja. Mm siko upande wa mtu yoyote zaid najarib tu kuchambua.
Machuma chuma unayoyaongelea hapa sijui ni yapi. Kwanza ungeweka waz maana hata magar nayo ni machumachuma. Bwana Utam,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump said if Iranians retaliate, we hit them strongly and hardier, haya Iran kajibu. Walikuwepo walioamini kwamba Iran asingethubutu, what is next? Will this turn into a full scale war??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa unielewe sio mshabiki wavita hata kidogo nasipendi vita kabisa maana sijawahi kumbana navyo ila najua madhara yake japo kwakusikia ama kuhadithiwa

Napia hua nasema mara kwamara IRAN Hana Uwezo Na Uthubutu Wakuishinda US Hata Kama Viata Ita Anza Sasa Hv

Ila IRAN Kwa Alipofikia US Anahaki Yakujiandaa Na Ikibidi Kujilinda Dhidi Ya US na Niko Upande Wa IRAN Ikitokea Vita Hata Kama Atapigwa Nakupata Madhara

Ila Mifumo Yaulinzi Ya US Kwamba Imeonesha Udhaifu Hili Halipingiki Kambi Zao Mbili Zina Pigika Kipuuzi Hv Wakat Wanatuaminisha yakwamba Wana mifumo Bora Yaulinzi Mwisho kabisa :Kwa Proxy waliopo Mashariki Yakati Ambao Wapo Pro IRAN Tusiombe Hii Vita Itokee Maana IRAN Atapigwa Ila US Hatasahau Atakachokumbana Nacho Na Nakuahidi Itakua Mwanzo Wa Mashariki Yakati Huru Itakayo Jiendesha Bila US Labda Atokee Mwengne Kama CHINA US Ama RUSSIA


Wananchi Wamashariki Yakati Karibu 75-80% hawataki Uwepo Wa US Ila Unakuta Wanafungwa Na Viongozi Wamataifa Yao

US Akiingia Vita Na IRAN Kaiharibu Mashariki Yakati Na Kauharibu Uwepo Wake Pale Sijui Kwenye Kuiharibu DUNIA


Hv 2 Mkuu Sipendi Vita mm ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…