Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nawewe pole sana maana 2najua kama umeumia ila vumilia 2 ndio mambo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uwezo anao pia! Hata huyo Marekani hawezi kwenda front kama hajapata uhakika wa support ya washirika wake.
Sasa subirini muone jinsi ambavyo Marekani hapendi upumbavuTuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
Toa maoni yako sasa, unahisi Marekani atafanya nini?Vifo Bado wanaficha,uhalibifu ni mkubwA,Kuna ndege za kivita zimeharibiwa
Saa kumi na mbili jioni
Mwisho kabisa :Kwa Proxy waliopo Mashariki Yakati Ambao Wapo Pro IRAN Tusiombe Hii Vita Itokee Maana IRAN Atapigwa Ila US Hatasahau Atakachokumbana Nacho Na Nakuahidi Itakua Mwanzo Wa Mashariki Yakati Huru Itakayo Jiendesha Bila US Labda Atokee Mwengne Kama CHINA US Ama RUSSIAMkuu unapozungumzia US ni defenseless in Middle East inatakiwa pia uangalie je Na Iran nayo haitapata madhara ?
Na je ikitokea hivyo vita unayoshabikia ni upande gani utapata hasara kubwa!
*kuna askari mmoja alishawahi kusema usianzishe vita kama hauna nafasi ya kushinda,vita ni mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ujue alishawahi kutembea na bibi yako zamani, muulize babu yako kama hamjui babu yangu, alikuwaga kichomi sana kwa babu yako.
Hua napenda sana kubishana kihoja na wewe japo kuna muda hua hunielwiNi 15 na siyo 22.pia kuna moja imeripuka karibu na makazi ya watu huko Erbil(ushahidi wa video na source ninavyo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujidanganya [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji12][emoji14]
Sawa ujue alishawahi kutembea na bibi yako zamani, muulize babu yako kama hamjui babu yangu, alikuwaga kichomi sana kwa babu yako.
walishawah kurushiwa makombora lini wakayazuia kwa hiyo mitambo?Moja Kati ya mitambo iran wametumia gharama kubwa kutengeneza Ni mitambo ya kuzuia makombora Tena kwa hili hakuna anae mkuta
Hata Hili Mkuu Nilakigaidi Sababu US Wanawambua SEPAH Kama Jeshi Lakigaidi Ama Umesahau Hili ?! .....Mkuu tumia commonsense kuwa shambulio la Lebanon ni la kigaidi tofauti na hiki ambalo lipo wazi !
Sent using Jamii Forums mobile app