Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

We ni papai kweli
 
Iran anafanya ushenzi mwingi sana Mashariki ya Kati. kuna sehemu ambazo Marekani anaweza kutoka lakini siyo Mashariki ya Kati.

Iran aache kufadhili ugaidi.
Chakuangalia hapa irani asije akaingia ugov nanchi ningine zajiran akati mwenzie yupo mbar chakujiuliza hapo awe makin asije na yy akayavagaa kisa kulipza kisas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ni zaidi ya 80 na wengine 200 wamejeruhiwa na 45 wako kwenye hali mbaya Sana.

Nilidhani unathibitisha kumbe “unasikia” tena kutoka kwenye State TV ya Iran[emoji3][emoji3]
 
Ushenzi wa Iran haufikii hata robo ya ushenzi wa US.
Iran anafanya ushenzi mwingi sana Mashariki ya Kati. kuna sehemu ambazo Marekani anaweza kutoka lakini siyo Mashariki ya Kati.

Iran aache kufadhili ugaidi.

dodge
 
Nani kukuambia wewe hakuna walio kufa fyi 80 wamekufa na 200 wameumia.
 
Naona mzee wa wigi michambo imemuisha kule twitter.

Sijui Wigi limemdondoka?
dodge
 
Upadates.

Naona kuna watu bado wanaichukulia poa hili seke seke wanahisi labda litaishia hewani hewani tu kama zile propagandas za NK. Lakini hili suala siku chache zijazo litakuwa na sura nyingine kabisa na duni itaanza kutafuta suluhu.

Trump ni new version ya George Bush, huyu mtu ni war monger na hayupo kwa ajili ya kushindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hakuna madhara yeyote wanafanya tahimini gani mpaka sasa hivi masaa yote hayo.

Na ndio kawaida ya marekani huwa akubali madhaifu yake hata kidogo.

Mpaka sasa hawajaruhusu vyombo vya habari kufika kwenye kambi zilizo shambuliwa sasa wanacho ficha ni nini kama hakuna madhara yeyote?

Iran ina watu wake ndani ya vyombo vya usalama vya Iraq kwa hiyo watakuwa wana ifahamisha kinacho endelea kwa hiyo wakisema kuna watu wamekufa si vyema kupuuza.
 
Kwa hali ya tension ilivyo Mashariki ya Kati baada ya Marekani kumuua General wa Iran ambapo Iran imeapa kulipiza kisasi kwa hali yoyote!

Je Marekani hakuhakikisha kambi zake zina ulinzi wa kutosha au ndo mifumo mibovu ya ulinzi wa anga?
Naona kila dalili ya Marekani kuaibika. Anaweza kumpiga Iran ila atapata madhara makubwa asiyotegemea!
 
Hongera kwa uandishi murua,uandishi mzuri sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…