Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Irani sio Taifa dogo kama Watu wanavyofikiri.
Iraq + Libya ni tofauti kubwa na Iran.
Iran amekua pro - Active ndani ya siku 2 kujibu mashambulizi
Iran ana Wataalam wa Nuclear Weapons.
Iran aliweza ku- hack US government website na kuweka maneno ya kumui- insult Trump.
Ninavyoona US hawezi kuishambulia Iran kwa sababu anajua madhara atakayoyapata.
Watu wanakosea kuifananisha Iran na Syria, Iraq, kuwait.
Iran imeshawahi kuitawala dunia ( Persian empire)!!!
We ni papai kweli
 
Iran anafanya ushenzi mwingi sana Mashariki ya Kati. kuna sehemu ambazo Marekani anaweza kutoka lakini siyo Mashariki ya Kati.

Iran aache kufadhili ugaidi.
Chakuangalia hapa irani asije akaingia ugov nanchi ningine zajiran akati mwenzie yupo mbar chakujiuliza hapo awe makin asije na yy akayavagaa kisa kulipza kisas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ni zaidi ya 80 na wengine 200 wamejeruhiwa na 45 wako kwenye hali mbaya Sana.

Nilidhani unathibitisha kumbe “unasikia” tena kutoka kwenye State TV ya Iran[emoji3][emoji3]
 
Ushenzi wa Iran haufikii hata robo ya ushenzi wa US.
Iran anafanya ushenzi mwingi sana Mashariki ya Kati. kuna sehemu ambazo Marekani anaweza kutoka lakini siyo Mashariki ya Kati.

Iran aache kufadhili ugaidi.

dodge
 
Siyo CNN pekee..hata RT,PRESSTV,BBC,AL JAZEERA,AL MASDAR,middle EAST EYE&MONITOR,ANADOLU NEWS AGENCY,TRT WORLD,SPUTNIK,RUPTY,AL ARABIYA,FOX NEWS na kuendelea sijaona habari za vifo zaidi nimeona tu picha ya baadhi ya makombora yaliyokosa shabaha!

View attachment 1315884View attachment 1315887View attachment 1315888View attachment 1315889View attachment 1315891

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kukuambia wewe hakuna walio kufa fyi 80 wamekufa na 200 wameumia.
 
Naona mzee wa wigi michambo imemuisha kule twitter.

Sijui Wigi limemdondoka?
Hii ni sawa na mtoto wa la 3 kumkazia mwenzie wa std 6! Sio kama ngumi anaweza ila kulinda heshima tu anakaza na mkwara wa kukusukumia na header moja matata. Akivuja damu tu na ngumi haendelei nazo heshima inatawala.

Ndio uhalisia wa alichofanya Iran.

dodge
 
Naona hii vita imefika patam sasa Iran kajibu mapigo baada ya jenerali wake kuuliwa na Marekani. Marekani wao wanadai watatoa tamko mpka sasa bado kimya tu ndio kusema Trump kanyari ama?

Uzi huu ume maalumu kw kupeana kila kinacho endelea mpaka tumpate mshindi.
Upadates.

Naona kuna watu bado wanaichukulia poa hili seke seke wanahisi labda litaishia hewani hewani tu kama zile propagandas za NK. Lakini hili suala siku chache zijazo litakuwa na sura nyingine kabisa na duni itaanza kutafuta suluhu.

Trump ni new version ya George Bush, huyu mtu ni war monger na hayupo kwa ajili ya kushindwa.
Screenshot_20200107_204627.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo CNN pekee..hata RT,PRESSTV,BBC,AL JAZEERA,AL MASDAR,middle EAST EYE&MONITOR,ANADOLU NEWS AGENCY,TRT WORLD,SPUTNIK,RUPTY,AL ARABIYA,FOX NEWS na kuendelea sijaona habari za vifo zaidi nimeona tu picha ya baadhi ya makombora yaliyokosa shabaha!

View attachment 1315884View attachment 1315887View attachment 1315888View attachment 1315889View attachment 1315891

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hakuna madhara yeyote wanafanya tahimini gani mpaka sasa hivi masaa yote hayo.

Na ndio kawaida ya marekani huwa akubali madhaifu yake hata kidogo.

Mpaka sasa hawajaruhusu vyombo vya habari kufika kwenye kambi zilizo shambuliwa sasa wanacho ficha ni nini kama hakuna madhara yeyote?

Iran ina watu wake ndani ya vyombo vya usalama vya Iraq kwa hiyo watakuwa wana ifahamisha kinacho endelea kwa hiyo wakisema kuna watu wamekufa si vyema kupuuza.
 
Kwa hali ya tension ilivyo Mashariki ya Kati baada ya Marekani kumuua General wa Iran ambapo Iran imeapa kulipiza kisasi kwa hali yoyote!

Je Marekani hakuhakikisha kambi zake zina ulinzi wa kutosha au ndo mifumo mibovu ya ulinzi wa anga?
Naona kila dalili ya Marekani kuaibika. Anaweza kumpiga Iran ila atapata madhara makubwa asiyotegemea!
 
Kwa hali ya tension ilivyo Mashariki ya Kati baada ya Marekani kumuua Jenereli wa Iran ambapo Iran imeapa kulipiza kisasi kwa hali yoyote!

Je, Marekani hakuhakikisha kambi zake zina ulinzi wa kutosha au ndo mifumo ibovu ya ulinzi wa anga!?

Naona kila dalili ya marekani kuaibika. Anaweza kumpiga Iran ila atapata amadhara makubwa asiyotegemea!
Hongera kwa uandishi murua,uandishi mzuri sana huu.
 
Back
Top Bottom