britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
We ni papai kweliIrani sio Taifa dogo kama Watu wanavyofikiri.
Iraq + Libya ni tofauti kubwa na Iran.
Iran amekua pro - Active ndani ya siku 2 kujibu mashambulizi
Iran ana Wataalam wa Nuclear Weapons.
Iran aliweza ku- hack US government website na kuweka maneno ya kumui- insult Trump.
Ninavyoona US hawezi kuishambulia Iran kwa sababu anajua madhara atakayoyapata.
Watu wanakosea kuifananisha Iran na Syria, Iraq, kuwait.
Iran imeshawahi kuitawala dunia ( Persian empire)!!!