Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Lete credible source(neutral)!

Maana hata mashambulizi ya Marekani tunaona vyombo mbali mbali vya kimagharibi na mashariki vikiripoti casualties (like Soleiman killing and airstrike onPMU )

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ujaelewa points yangu kuu mkuu.

Sina credible source ila shambulio la Iran kwenye hizo base za marekani unataka kusema hakuna kilichoaribika upande wa marekani?
 
General alipouliwa tuliona video na picha,ndege ya Ukraine imeanguka tuliona picha,hapo nadhani unamjua nani anafanya propaganda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibomu vichache vya Iran lazima vionje Kenya na magaidi kupata nguvu ya kushambulia kambi za marekani zilizopo Kenya na kambi za kdf wakenya jiandaeni iran lazima itapatia .agaidi nguvu kuujumu washirika wake hasa nyinyi mliokubali kambi za kijeshi za marekani nchini kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe angalia kambi ilivyochakazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah nilidhani yuko kwenye national television akideclare war against Iran
 
Wamerekani wamepata karais katunduu!
 
Nchi ya Kiarabu pekee iliyopigwa mabomu wakati wa Osama ni Sudan, ambayo ni nchi ya Kiafrika. Usisahau hilo.

Nchi nyingine ipi ya Kiarabu ilipigwa kwa ajili ya Osama?
 
Mkuu kuwa rational.. Kambi hizo za marekani walikuwepo pia Wairaq,na nchi mbali mbali za NATO sasa kwa utashi wako iweje wote wasife wafe wamarekani tu.(yaani wasife Wairaki,Wacanada,Waingereza,Wajerumani nk)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unadhani ni nini kinacho fanya wanawakataza waandishi wa habari kufika eneo tukio ili watuoneshe kilocho tokea?
 
Mkuu kuwa rational.. Kambi hizo za marekani walikuwepo pia Wairaq,na nchi mbali mbali za NATO sasa kwa utashi wako iweje wote wasife wafe wamarekani tu.(yaani wasife Wairaki,Wacanada,Waingereza,Wajerumani nk)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu naomba uniambie huu ujasiri Iran kaupata wapi maana pamoja na Mimi kuwa upande wa Iran lakini sikutegemea kama Iran angeishambulia moja kwa moja marekani nilitegemea angewatumia mawakara wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…