misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Nahisi ujaelewa points yangu kuu mkuu.Lete credible source(neutral)!
Maana hata mashambulizi ya Marekani tunaona vyombo mbali mbali vya kimagharibi na mashariki vikiripoti casualties (like Soleiman killing and airstrike onPMU )
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina credible source ila shambulio la Iran kwenye hizo base za marekani unataka kusema hakuna kilichoaribika upande wa marekani?