Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hebu nioneshe jengo lililosalia kwenye picha ya kwanza??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap vita itakua ngumu sana tofauti mitazamo ya awali ilivyo kitendo cha Iran kurusha makombora ,kinapeleka taarifa upande wapili kuwa wao sio wanyonge ,hivo kama msala basi tumelinzisha dude,Hapo busara inatakiwa UN waingilie kati juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ujaelewa points yangu kuu mkuu.

Sina credible source ila shambulio la Iran kwenye hizo base za marekani unataka kusema hakuna kilichoaribika upande wa marekani?
Ok,sasa nimekuelewa.. Vipo lakini watu wamejikita zaidi na binadamu(askari kuwa hakuna aliyekufa)..
Material damage razima yatakuwepo! Ndio maana Trump kasema wapo kwenye assessment.
Ni sawa Hamas wanaporusha rocket Israel si kuwa haziharibu hata nyumba la hasa kuna athari zinatokea sema wao wanajikita zaidi kwenye watu(vifo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee toka Mh Rais akemee maovu yanayoendelea kwenye ile Wizara yake. Mzee wa Field amekimbia Twitter. Sijui tatizo litakua ni nini? Yaani ameunyata nadhan anasikilizia kama kuna barua itatolewa na Msigwa hivi karibuni!
 
Amerika KWANZA; hawa jamaa wanathamini sana uhai raia wao hata kama ni mmoja asiuwawe. Kwa hili watakuwa pamoja sana
 
Kigwa Misifa

Alikua anajimini sana kitendo cha kupigwa mkwara na Mkulu tena adharani kimemfedhehesha kweli kweli
 
Wewe angalia kambi ilivyochakazwaView attachment 1316005

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahisi hujanielewa nimesema kuhusu vifo..huyo vyombo havijaripoti kuhusu vifo kutokea..ila material damage razima zitakuwepo.

*hata ukisikia hamas wamerusha maroketi kuna mengine hayawi intercepted hivyo kuna athari ndogo ndogo zinatokea kwenye miundombinu..sema hapa watu wamejikita kwenye watu(vifo)

Kumbuka hiyo kambi haina wanajeshi wa Marekani pekee..kuna UK,US, Iraq nk hivyo obvious kama vifo vingetokea basi isingekuwa siri..maana hata hayo mataifa mengine yamekana kuwa wanajeshi wake wapo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliyemfuata mwenzake nyumbani kutafuta ugomvi.? Marekani au vietnam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…