Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Ayyatollah amenena live ,pigo litajibiwa na pigo la nguvu zaidi! Kumekucha 2020.,
Uzuri huyu jamaa anatimiza kile anachokisema tofauti kabisa na yule"mzee wa kutweet".
IMG_20200108_160948.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nioneshe jengo lililosalia kwenye picha ya kwanza??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale mnaobisha tizama jinsi Ngome ya marekani iraq ya Al Asad airbase ilivyochakazwa halafu mnasema hakuna wanajeshi wa marekani waliukufa!!!?

Halafu mashambulizi yalikuwa ya ambush mishale ya saa saba za usiku

Can't be serious.View attachment 1315816
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap vita itakua ngumu sana tofauti mitazamo ya awali ilivyo kitendo cha Iran kurusha makombora ,kinapeleka taarifa upande wapili kuwa wao sio wanyonge ,hivo kama msala basi tumelinzisha dude,Hapo busara inatakiwa UN waingilie kati juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ujaelewa points yangu kuu mkuu.

Sina credible source ila shambulio la Iran kwenye hizo base za marekani unataka kusema hakuna kilichoaribika upande wa marekani?
Ok,sasa nimekuelewa.. Vipo lakini watu wamejikita zaidi na binadamu(askari kuwa hakuna aliyekufa)..
Material damage razima yatakuwepo! Ndio maana Trump kasema wapo kwenye assessment.
Ni sawa Hamas wanaporusha rocket Israel si kuwa haziharibu hata nyumba la hasa kuna athari zinatokea sema wao wanajikita zaidi kwenye watu(vifo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee toka Mh Rais akemee maovu yanayoendelea kwenye ile Wizara yake. Mzee wa Field amekimbia Twitter. Sijui tatizo litakua ni nini? Yaani ameunyata nadhan anasikilizia kama kuna barua itatolewa na Msigwa hivi karibuni!
 
Taifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.

Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.

Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.

Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi
Amerika KWANZA; hawa jamaa wanathamini sana uhai raia wao hata kama ni mmoja asiuwawe. Kwa hili watakuwa pamoja sana
 
Kigwa Misifa

Alikua anajimini sana kitendo cha kupigwa mkwara na Mkulu tena adharani kimemfedhehesha kweli kweli
 
Wewe angalia kambi ilivyochakazwaView attachment 1316005

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahisi hujanielewa nimesema kuhusu vifo..huyo vyombo havijaripoti kuhusu vifo kutokea..ila material damage razima zitakuwepo.

*hata ukisikia hamas wamerusha maroketi kuna mengine hayawi intercepted hivyo kuna athari ndogo ndogo zinatokea kwenye miundombinu..sema hapa watu wamejikita kwenye watu(vifo)

Kumbuka hiyo kambi haina wanajeshi wa Marekani pekee..kuna UK,US, Iraq nk hivyo obvious kama vifo vingetokea basi isingekuwa siri..maana hata hayo mataifa mengine yamekana kuwa wanajeshi wake wapo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo vita ya vietnam wamarekani walikuwa wanaua tu wavietnam huku wavietnam wakiwa hawaui wamarekani.Unataka kusema wavieynam walikuwa wameka tu.Hata hao wafuasibwa kasim suleiman wao unataka kuniambia hawajamwaga damu za watu.Acha ushabiki mbuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyemfuata mwenzake nyumbani kutafuta ugomvi.? Marekani au vietnam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom