Taifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.
Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.
Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.
Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi