Lete reliable source kuthibitisha kuwa wanawakataza waandishi wa habari kuficha kilichotokea!Sasa unadhani ni nini kinacho fanya wanawakataza waandishi wa habari kufika eneo tukio ili watuoneshe kilocho tokea?
Unachanganya hawa sio waarabu hawa ni WAAJEMI. waarabu wako saudia hukoHukumu ya wanadamu sio hukumi ya Mungu.
Mimi nasema Marekani isiruhusu taifa la kiarsbu kupata nguvu zaidi duniani ni hatari kwa ustawi wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok,now nimekuelewa .unaisifu Iran kwa ujasiri ni sawa maana kwa strength ya Iran ingekuwa nchi nyingine yenye viongozi waoga isinge thubutu ingawa in other hand ni reckless decision ..ila punguza kutoa chumvi katika hoja zako.Ila mkuu naomba uniambie huu ujasiri Iran kaupata wapi maana pamoja na Mimi kuwa upande wa Iran lakini sikutegemea kama Iran angeishambulia moja kwa moja marekani nilitegemea angewatumia mawakara wake.
Wewe mzee Iran ni waajemiUarabu ni utamaduni sio kabila, nasisitiza Iran ni Waarabu.
Wewe ndiue mdini mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos. You are matured brother.Ok,now nimekuelewa .unaisifu Iran kwa ujasiri ni sawa maana kwa strength ya Iran ingekuwa nchi nyingine yenye viongozi waoga isinge thubutu ingawa in other hand ni reckless decision ..ila punguza kutoa chumvi katika hoja zako.
*mkuu kumbuka unapo-urgue na MTU epuka kutoa hoja kwa hisia,mapenzi au ushabiki ..ukifanya hivi utakuwa unatoa hoja mujarabu..pia jitahidi ku-urgue logical.
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibomu vichache vya Iran lazima vionje Kenya na magaidi kupata nguvu ya kushambulia kambi za marekani zilizopo Kenya na kambi za kdf wakenya jiandaeni iran lazima itapatia .agaidi nguvu kuujumu washirika wake hasa nyinyi mliokubali kambi za kijeshi za marekani nchini kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah ni nomaree, kaufyataaNaona mzee wa wigi michambo imemuisha kule twitter.
Sijui Wigi limemdondoka?
dodge
Ndugu hamna haja ya kashfa.Kwenye haya majadiliano sala tano imekujaje?Walokole tunasali sala tano??Tatizo ufahamu wenu umetawaliwa na sala tano.
Ninachoongelea ni life style na sio eneo au utaifa bali ni aina ya maisha na imani
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh ok sawaOk,sasa nimekuelewa.. Vipo lakini watu wamejikita zaidi na binadamu(askari kuwa hakuna aliyekufa)..
Material damage razima yatakuwepo! Ndio maana Trump kasema wapo kwenye assessment.
Ni sawa Hamas wanaporusha rocket Israel si kuwa haziharibu hata nyumba la hasa kuna athari zinatokea sema wao wanajikita zaidi kwenye watu(vifo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisikia vyema mkuu ndivyo US alivyo sema, tena akasema na akimuondoa kwa nguvu atamuwekea vikwazo vya kiuchumi,
US akiwa rafiki yake ujiandae tu ipo siku atakuduwaza.
Huo ni uzushi Trump haja tweet bado