Tusijifanye kuwa hayatuhusu, kuwa eti watakufa wao tu. Marekani inatuingiza katika vita vya dunia. Uchumi wa dunia utaparaganyika na hakuna nchi itakayokuwa salama. Ubeberu wa Marekani umeeneza vituo vyake vya kijeshi kote duniani - pamoja na Afrika mashariki