Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Tusijifanye kuwa hayatuhusu, kuwa eti watakufa wao tu. Marekani inatuingiza katika vita vya dunia. Uchumi wa dunia utaparaganyika na hakuna nchi itakayokuwa salama. Ubeberu wa Marekani umeeneza vituo vyake vya kijeshi kote duniani - pamoja na Afrika mashariki
 
Sasa unadhani ni nini kinacho fanya wanawakataza waandishi wa habari kufika eneo tukio ili watuoneshe kilocho tokea?
Lete reliable source kuthibitisha kuwa wanawakataza waandishi wa habari kuficha kilichotokea!

*mkuu unapotoa hoja kuwa neutral ukitoa hoja kwa hisia,ushabiki au mapenzi basi razima utakuwa biased..ipo hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu naomba uniambie huu ujasiri Iran kaupata wapi maana pamoja na Mimi kuwa upande wa Iran lakini sikutegemea kama Iran angeishambulia moja kwa moja marekani nilitegemea angewatumia mawakara wake.
Ok,now nimekuelewa .unaisifu Iran kwa ujasiri ni sawa maana kwa strength ya Iran ingekuwa nchi nyingine yenye viongozi waoga isinge thubutu ingawa in other hand ni reckless decision ..ila punguza kutoa chumvi katika hoja zako.

*mkuu kumbuka unapo-urgue na MTU epuka kutoa hoja kwa hisia,mapenzi au ushabiki ..ukifanya hivi utakuwa unatoa hoja mujarabu..pia jitahidi ku-urgue logical.

Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,now nimekuelewa .unaisifu Iran kwa ujasiri ni sawa maana kwa strength ya Iran ingekuwa nchi nyingine yenye viongozi waoga isinge thubutu ingawa in other hand ni reckless decision ..ila punguza kutoa chumvi katika hoja zako.

*mkuu kumbuka unapo-urgue na MTU epuka kutoa hoja kwa hisia,mapenzi au ushabiki ..ukifanya hivi utakuwa unatoa hoja mujarabu..pia jitahidi ku-urgue logical.

Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos. You are matured brother.
 
Vibomu vichache vya Iran lazima vionje Kenya na magaidi kupata nguvu ya kushambulia kambi za marekani zilizopo Kenya na kambi za kdf wakenya jiandaeni iran lazima itapatia .agaidi nguvu kuujumu washirika wake hasa nyinyi mliokubali kambi za kijeshi za marekani nchini kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Afrika tushayazoea wala yasikupe tabu, huu uzi unazungumza mambo yanayopaswa akili kuyajadili, dunia sasa hivi na kila mtu ameelekeza macho yake kule kwa mabwana wa hizi dini zetu.
 
Je Marekani atavamia Iran??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dunia sio sehemu salama ya kuishi kwa sasa.....tambua kwe Americans analengwa popote alipo.......hata sisi hatuko salama....
 
Kama sio porojo bas kazi ipo
IMG-20200108-WA0066.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,sasa nimekuelewa.. Vipo lakini watu wamejikita zaidi na binadamu(askari kuwa hakuna aliyekufa)..
Material damage razima yatakuwepo! Ndio maana Trump kasema wapo kwenye assessment.
Ni sawa Hamas wanaporusha rocket Israel si kuwa haziharibu hata nyumba la hasa kuna athari zinatokea sema wao wanajikita zaidi kwenye watu(vifo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Oh ok sawa

Lakini unafikiri wataleta majibu really kutokana na hiyo assessment yao
 
Ulisikia vyema mkuu ndivyo US alivyo sema, tena akasema na akimuondoa kwa nguvu atamuwekea vikwazo vya kiuchumi,
US akiwa rafiki yake ujiandae tu ipo siku atakuduwaza.

USA ni mzee wa Permanent Agenda na sio Permanent Friendship. Ni tajiri dhalimu tu huyu.
 
Baada ya kupiga mabomu pembezoni mwa kambi za wanajeshi wa Marekani na mengine yakatua maeneo yasiyokua na watu, Ayotollah ameonyesha kusikitishwa na ukosefu wa ufanisi kwenye hilo shambulio, ameahidi kufanya kitu zaidi.

Mzee Trump anaasubiriwa kutoa tamko, ila aongeleshwe chondechonde asifanye kitu maana kwa hili la Iran lilikua la 'saving face' tu, maana anategemewa sana na makundi ya kigaidi duniani kama mkuu wao wa kuwakingia kifua, sasa kwa jenerali wake mkuu kupigwa mabomu na akose hata kung'aka ingeleta aibu, jameni Marekani waichukulie poa kwa sasa, duniani hatutaki vita.

  • Iran fired 22 ballistic missiles at two Iraqi bases housing American troops early Wednesday local time
  • Strikes are not thought to have killed any US or Iraqi personnel, though extent of damage is being assessed
  • Ayatollah said US was given a 'slap' but strikes alone are 'not enough' and called for troops to be kicked out
  • There are still fears for US troops after Iran-backed militias in Iraq threatened to carry
 
Back
Top Bottom