Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

The Mohajer was Iran's first drone to enter series production and was used during the Iran–Iraq War. The Mohajer-1 was known simply as "Mohajer" through the 80s and 90s, when it was re-designated "Mohajer-1" as other Mohajer variants had been developed.
 
Mkuu Ni ndani ya teolojia yanapatikana hayo yote,uchambuzi yakinifu wa Biblia ulifanika vyema ungelipata BIBLIA ungelisoma Daniel & Ufunuo wa Yohana utapata mengi zaidi ya haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni history,sio ufunuo,habari iliandikwa baada ya matukio,ukiifuta history,kwanza babeli haikuwa falme ya mwanzo,pili babel sio ufalme pekee ulioanguka Hadi kwamba uhitaji unabii,mbona hakuna unabii wa British empire?,Songhai au Mali empire,
Angalia timeline ya Daniel kazaliwa lini,kafa lini na Nani mwandishi halisi was kitabu hicho
 

upo mbali sana. ulimwengu hauwezi kurudi tena mashariki ya kati.. huko walishatoka kitambo. ulimwengu sasa hivi unambilia china india na brazil


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni jamaa bwana. Hivi unadhani hayo unayosema Iran hawakuyajua? Unajua kiwa Irani anatengeneza drone zake mwenyewe, Unajua kuwa Irani inaunda ndege na makombora yake mwenyewe? It seems hujaelewa nguvu za Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app

Iran hana teknolojia yeyote. makombora ya Iran ni yale ya Urusi anayabadilisha tu rangi ya nje na anayapa majina ya kiarabu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uajemi=Iran hawana uwezo kuangusha Marekani kijeshi. Mwenye uwezo wa kuangusha Marekani ni huyu Trump.
Halafu tafadhali tutumie akili ya wastani tukitazama dunia. Nani aliua watu wengi sana katika historia? Si Marekani ingawa walifanya vibaya. Sina sababu ya kutetea Marekani lakini tusiache akili na elimu kando.
Je umejua vita ya Kongo ya 1998-2003 iliua watu milioni kati ya 2.5 hadi 5? Na vita ya Vietnam (haikufikia namba za vifo vya Vietnam) ilianzishwa na uvamizi wa jeshi la kaskazini (ambako Marekani iliingilia kutetea serikali ya kusini?). Vita ya Iraki ilikuwa vibaya sana - ila tu idadi ya vifo haifikii idadi ya vifo vya Rwanda.
Soma: List of wars by death toll - Wikipedia

Halafu kuhusu siku za kale na Uajemi: je umesikia kwamba Uajemi wakati wa Biblia ilishindwa na Wagiriki, na jeshi la Wagiriki ilijaa washoga?
 
Iran hayo kurusha hayo makombora ni kajitutumua tu ili aonekane karevange ila hamna cha maana alichofanya. Marekani hawezi kurusha mabomu Iran coz kazi yake
kubwa keshaifanya ambayo ni kumuua solemani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
North Korea alilalama mwisho akadai vita ikianza ataua raia wengi sana aka surrender jamaa ni mzuri kutweet.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…