Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Wqara
Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.
Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Waarabu huwa hawachukua muda kusalitiana.
 
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).
Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k
Ushoga wewe unakuuma nini?
Ya kale yalishapita na Mungu alisema hatokaa aipige dunia tena unajua imeandikwa wapi?
.
Uovu wa marekani ni kuwatetea raia?
Nakwambia without america hii dunia itakwisha
 
SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...


Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,

Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.

Hesabu hazidanganyi.
Mkuu unaweza walau kutupa abcd za hizo hesabu nasi tujifunze? Ubarikiwe sana
 
Taifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.

Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.

Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.

Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi
Hujaijua vzur marekan mkuu,nakushaur jikumbushe matukio mbalmbal yaliyopelekea vita kwa marekan enz hzo

Na pia marekan hafanyag kitu bila mipango na calculations,unahis kwamba et trump ndio aliamua kumuua soleiman ,trump anajua nin kuhusu vita?trump anaamrishwa tuu nayeye anatekeleza saini.marekani tofaut na nchi zetu hiz zingne,mipango yao inatumia akil ya hal ya juu,

Kwahyo binafsi nasema tukio lile lilikua calculated na risk ishapimwa na wanajua wanafanya nin mkuu,so expect somethn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,Iran amefanya maamuzi magumu.

Hizo missle wkt zimefyatuliwa TV ya Taifa ya Iran ikawa ikimuonyesha Ayattollah akiangalia kwny TV namna zinavyofyatuliwa,nimeikubali sana Confidence yao
Walisema Iran anabweka tu.hakuna jeshi lenye kumuogopa adui hata kama atakuwa anazidiwa uwezo na adui yake.askari hawi muoga.

dodge
 
Back
Top Bottom