Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesahau alivyoipiga Syria mbele ya russia na Russia wakaufyataUkweli ni kwamba US haiwezi kuingia vitani kwa wakati hu wakati mwenzao Russia iko kimya......US hawezi kurudisha kisasi kwasasa Trump anaomba yaishe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia hamna kitu , ni makelele tu , na hao akina Kim ni ushumbwanda Tu, hata network wanatumia za USA , aliye safe kdog ni China , Ila hataki masuala ya kvita vita ni kuangamiza roho za watu tuu hakuna kingine cha maana , matokeo ya vita ni kama haya , thaman ya maisha inakuwa haipoMkuu umesahau alivyoipiga Syria mbele ya russia na Russia wakaufyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kweli hali mbaya nauona mwisho mbaya Sana , ila wacha wamaliza nasi weusi tukawekeze huko nakusaidia wakimbiziHalafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.
Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Acheni UONGO.Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump kasemaIna maana hakuna waliokufa?
Mkuu umesahau alivyoipiga Syria mbele ya russia na Russia wakaufyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Infact hata hiyo barua ingekua hai jua usa isingeweza kutoa majeshi yake yote ndani ya siku mbili.Kwa mujibu wa barua ya General ambayo baadaye waliikana inaonekan marekani ilikuwa imeshajiondoa kwenye makambi hayo na kujificha kusikojulikana, husishangae hakuna aliyekufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja Kati ya mitambo iran wametumia gharama kubwa kutengeneza Ni mitambo ya kuzuia makombora Tena kwa hili hakuna anae mkutaItakuaje Marekani akivurumisha makombora direct kwenda ikulu ya mfuga ndevu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app