Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Wqara
Waarabu huwa hawachukua muda kusalitiana.
 
Ushoga wewe unakuuma nini?
Ya kale yalishapita na Mungu alisema hatokaa aipige dunia tena unajua imeandikwa wapi?
.
Uovu wa marekani ni kuwatetea raia?
Nakwambia without america hii dunia itakwisha
 
SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...


Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,

Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.

Hesabu hazidanganyi.
Mkuu unaweza walau kutupa abcd za hizo hesabu nasi tujifunze? Ubarikiwe sana
 
Hujaijua vzur marekan mkuu,nakushaur jikumbushe matukio mbalmbal yaliyopelekea vita kwa marekan enz hzo

Na pia marekan hafanyag kitu bila mipango na calculations,unahis kwamba et trump ndio aliamua kumuua soleiman ,trump anajua nin kuhusu vita?trump anaamrishwa tuu nayeye anatekeleza saini.marekani tofaut na nchi zetu hiz zingne,mipango yao inatumia akil ya hal ya juu,

Kwahyo binafsi nasema tukio lile lilikua calculated na risk ishapimwa na wanajua wanafanya nin mkuu,so expect somethn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,Iran amefanya maamuzi magumu.

Hizo missle wkt zimefyatuliwa TV ya Taifa ya Iran ikawa ikimuonyesha Ayattollah akiangalia kwny TV namna zinavyofyatuliwa,nimeikubali sana Confidence yao
Walisema Iran anabweka tu.hakuna jeshi lenye kumuogopa adui hata kama atakuwa anazidiwa uwezo na adui yake.askari hawi muoga.

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…