42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Kwani hapa tunazungumzia habari zangu mimi?Acha Iran ambaye yupo karbu , anakuchafua hata ww hapo hapo ulipo tokea Us, Ila ww huwez
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa tunazungumzia habari zangu mimi?Acha Iran ambaye yupo karbu , anakuchafua hata ww hapo hapo ulipo tokea Us, Ila ww huwez
Chanzo cha cnn kinadai hakuna
Aliyepata majeraha Wala kuuwawa katika shambulio la misslesView attachment 1315859
Sent using Jamii Forums mobile app
Atasaidia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama machuma chuma yenyewe yamechemka huyo umbwa atasaidia nn asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikua location anacheza scene ya comedyANAFANYAJE APA HUYU MJEDA....!?
View attachment 1315825
Moyo ninao, nijipe mwingine tena.
hatajaribu na hatadhubutu.... Vita na Iran itamcost sana na mahasimu wake watatumia hiyo nafasi kumpiku kiuchumi kama alivyofanya yeye kwenye ww2Navyoona ataamza kupiga sehemu nyeti kwakuwa juzi tuu kasema anajua maeneo yote ya irani anäyoringia
Kwahyo mmarekan nae maskin maana yeye ndo anaongoza kupenda vita dunia,..tulia wee babuMasikini wanapenda sana vita sijui hata kwa nini!
Wewe unaonekana una chuki dhidi ya uislam wala sio waarabu maana Irani sio waarabu.Hukumu ya wanadamu sio hukumi ya Mungu.
Mimi nasema Marekani isiruhusu taifa la kiarsbu kupata nguvu zaidi duniani ni hatari kwa ustawi wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitetea tu mbona kwingine kama Iraq aliingia tu?Maamuzi yatatolewa kulingana na shambulio la iran limeua wamarekani wangapi.
Kama halijaua trump hawezi kuingia vitani zaidi ya kuongezea vikwazo vya kiuchumi kwa Iran.
Ila kama shambulio limeua? Trump ataingia vitani kwa kuanza kupiga yale maeneo 52 Iran
Sent using Jamii Forums mobile app