Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Siyo CNN pekee..hata RT,PRESSTV,BBC,AL JAZEERA,AL MASDAR,middle EAST EYE&MONITOR,ANADOLU NEWS AGENCY,TRT WORLD,SPUTNIK,RUPTY,AL ARABIYA,FOX NEWS na kuendelea sijaona habari za vifo zaidi nimeona tu picha ya baadhi ya makombora yaliyokosa shabaha!

Chanzo cha cnn kinadai hakuna
Aliyepata majeraha Wala kuuwawa katika shambulio la misslesView attachment 1315859

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_15784810921495722.jpeg
View attachment 1315887
FB_IMG_15784810748321221.jpeg
FB_IMG_15784799173052166.jpeg
FB_IMG_15784810618782725.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuda deki natamani nihamie irani nikaone mpambano wa hatari

Sent using i phone x
 
IRGC: No missiles intercepted in attack on US bases, casualties reported
 
Navyoona ataamza kupiga sehemu nyeti kwakuwa juzi tuu kasema anajua maeneo yote ya irani anäyoringia
hatajaribu na hatadhubutu.... Vita na Iran itamcost sana na mahasimu wake watatumia hiyo nafasi kumpiku kiuchumi kama alivyofanya yeye kwenye ww2
 
Naona hii vita imefika patam sasa Iran kajibu mapigo baada ya jenerali wake kuuliwa na Marekani. Marekani wao wanadai watatoa tamko mpka sasa bado kimya tu ndio kusema Trump kanyari ama?

Uzi huu ume maalumu kw kupeana kila kinacho endelea mpaka tumpate mshindi.
 
Irani sio Taifa dogo kama Watu wanavyofikiri.
Iraq + Libya ni tofauti kubwa na Iran.
Iran amekua pro - Active ndani ya siku 2 kujibu mashambulizi
Iran ana Wataalam wa Nuclear Weapons.
Iran aliweza ku- hack US government website na kuweka maneno ya kumui- insult Trump.
Ninavyoona US hawezi kuishambulia Iran kwa sababu anajua madhara atakayoyapata.
Watu wanakosea kuifananisha Iran na Syria, Iraq, kuwait.
Iran imeshawahi kuitawala dunia ( Persian empire)!!!
imageedit_1_8765125470.jpg
 
Bwana Utam,
Iran anafanya ushenzi mwingi sana Mashariki ya Kati. kuna sehemu ambazo Marekani anaweza kutoka lakini siyo Mashariki ya Kati.

Iran aache kufadhili ugaidi.
 
Unaongea usichojua kabisa. Kwa hiyo trump ndiyo yuko Iraq.unachanganya siasa za marekani na vita. Kwenye swala la vita ya kimaslahi marekani hana cha siasa. Kote Iraq, Syria, afrighastan ni mambo ya maslahi ya marekani. Missile of the Nation,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi yatatolewa kulingana na shambulio la iran limeua wamarekani wangapi.

Kama halijaua trump hawezi kuingia vitani zaidi ya kuongezea vikwazo vya kiuchumi kwa Iran.

Ila kama shambulio limeua? Trump ataingia vitani kwa kuanza kupiga yale maeneo 52 Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitetea tu mbona kwingine kama Iraq aliingia tu?
Yani kilichotokea ni pale unapompiga mkwara mtu kuwa akithubutu kufanya kitu flani utamuonyesha ukitegemea hatothubutu naye akakifanya mbele ya macho yako.
Trump hajajua achukue hatua gani na tension aliyo nayo toka kwa Democratics najua watakuwa against any move ya kuanzisha vita
 
Back
Top Bottom