yahya kiuchumi ni kweli kabisaMambo mengi yanaenda kutokea,waathirika ni wengi ukiwemo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yahya kiuchumi ni kweli kabisaMambo mengi yanaenda kutokea,waathirika ni wengi ukiwemo wewe
Kwanini anatafuta adui wa mbali? Si wapigana na CANADA?Iran atapigwa tena atapigwa kipigo kitakatifu sana yale Mabomu ya Isotopes of Hydrogen ya Tritium, Deuterium, ndiyo yatakayotumika, haya yamefanyiwa maboresho kadhaa kwenye maeneo maalumu ya Wisconsin.
Albert Einstein akitumia formula yake ya E= mc^2, ndiyo formula inayozaa matumizi ya mabomu hatari ya Nuclear. Waliosoma Quantum Physics~ The Physics of imagination, the invisible Physics
Nimeota kwamba kwa huruka ya Marekani kutokukubali kudharauliwa atakayoyafanya kwa IRAN yataishangaza Dunia yatairejesha Dunia kwenye kumbukizi ya miaka 75 iliyopita.
Una uhakika gani ya kwamba halijasababisha vifo mpaka sasa hivi wamewakataza waadishi wa habari kufika kwenye kituo kilicho shambuliwa wana ficha nn?Kwa shambulizi dogo na ambalo halikuua, utawala wa Iran ulitaka tu pa kutokea (ili ionekane wamechukua hatua) - lakini hawakuwa na nia ya kulianzisha kivita kamili.
Nadhani wamarekani pia wanaamini hivyo, na kwa vile nao wasingependa sana vita (na matokeo yake) bila shaka watachukua hatua zisizoanzisha vita.
Iran amesema akipigwa tu atajibu mashambulizi yalipotokea hivyo ni juhudi za wale wanaom accomodate USA kukataa ama kumruhusi kuanzisha timbwili timbwili twimbwili kny nchi zaoUshaur kwa Iran
Kama marekan akijibu mashambuliz nchin kwao bas na wao wasisite kwenda kupiga ktka ardh ya marekan il nae aijue hasara ya vta ikiwa nyumban
Maan marekan kazoea kupgania vta nchi za wenzake,il wapolomoke yey abaki kuwa juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nyuma ya kibodi ni bonge la mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakajifanya Hawaelewi.....Tuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
Poleni sanaaa[emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji12][emoji12][emoji14][emoji33]
Jamaa wameshajua kuwa mifumo ya ulinzi ya marekani haina uwezo wa kupangua missiles nyingi kwa wakati moja. na ndio maana jamaa akatuma za kutoshaMakombora 15 yaliyo hit 11? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani tuisemeaje sasa? Tuilete picha gani?
Houthi waliporusha makombora Saudi Arabia na Saudi mifumo ya ulinzi ya anga anayotumia ni ya Marekani. Kilichotokea Saudi Arabia kinafahamika!
Ngoja nisubiri kwanza, sitaki kuamini haraka haraka!
[emoji23][emoji23][emoji23] trump angekuwa anaziona hiz comment nazan angeachatu masifa yani Leo nikiskia tu nyumba inatetema BC najuwa nibwana mkubwa trump kasha jibu balua kwamasifa yale ya trump nakwambia mpaka tuliopo mbez mwisho tutatetema akijbu mkuuu wa jimboLet's see how far this is gonna get!
Trump sidhani kama anajua mwisho wa hili
Sifa mbaya wakati mwingine
Mungu peke anajua
Utasikia mbagala 🤣🤣🤣
Ile ni Boeing 737 old model sio Boeing 737 MaxNimeifatilia kmbe ilikua yenyewe bnafsi
Ila nilichofurahi machuma chuma ya US Yamekua Vyuma Chakavu Hayana Madhara Kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app