Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hii mifumo ya ulizinzi ya marekani na Israel ni zero haifanyi kazi kama wanvyoi-advertise. Mifumo hiyo hiyo ndio mabomu ya Hamas anapenya at 75% ,huo ni ulinzi au utani. Anyway najua marekani itaondoka kwa huu mgogoro kwa aibu kubwa
 
Kwa ustaarabu wa dunia ya sasa Marekani hawezi kutumia silaha kama hizo kuangamiza mamilioni ya watu.
Sema kuvamia na kuiharibu Irani kwa makombora na mizinga ya kawaida kama alivyofanya Afghan na Iraq anaweza.
Ma B-52 yatatumika sana bila nuclear bombs.
 
USA uwezo inao Ila haiwez fanya hvo , hata wao wanajutia yaliyotokea Nagasaki na Hiroshima , wanakwambia ilikuwa the worst decision , Kwa Iran kaz ni ndog Tu piga watu mhimu kwenye jeshi , alaf deploy heavy millitary base na kuzipiga, istoshe ni far away toka kwao kwenye fukwe za Miami , ni kuzungukana nao pale pale middle East
 
Iran atapigwa tena atapigwa kipigo kitakatifu sana yale Mabomu ya Isotopes of Hydrogen ya Tritium, Deuterium, ndiyo yatakayotumika, haya yamefanyiwa maboresho kadhaa kwenye maeneo maalumu ya Wisconsin.

Albert Einstein akitumia formula yake ya E= mc^2, ndiyo formula inayozaa matumizi ya mabomu hatari ya Nuclear. Waliosoma Quantum Physics~ The Physics of imagination, the invisible Physics

Nimeota kwamba kwa huruka ya Marekani kutokukubali kudharauliwa atakayoyafanya kwa IRAN yataishangaza Dunia yatairejesha Dunia kwenye kumbukizi ya miaka 75 iliyopita.
Kwanini anatafuta adui wa mbali? Si wapigana na CANADA?
 
Sijui wataanza lini huu mtulinga, nimechoka kuwaona GYM nataka waingie ulingoni.

Hatulali sisi kwa kelele zao.
 
Kwa shambulizi dogo na ambalo halikuua, utawala wa Iran ulitaka tu pa kutokea (ili ionekane wamechukua hatua) - lakini hawakuwa na nia ya kulianzisha kivita kamili.

Nadhani wamarekani pia wanaamini hivyo, na kwa vile nao wasingependa sana vita (na matokeo yake) bila shaka watachukua hatua zisizoanzisha vita.
Una uhakika gani ya kwamba halijasababisha vifo mpaka sasa hivi wamewakataza waadishi wa habari kufika kwenye kituo kilicho shambuliwa wana ficha nn?
 


Iran fires rockets at US forces in Iraq
 
Ushaur kwa Iran
Kama marekan akijibu mashambuliz nchin kwao bas na wao wasisite kwenda kupiga ktka ardh ya marekan il nae aijue hasara ya vta ikiwa nyumban
Maan marekan kazoea kupgania vta nchi za wenzake,il wapolomoke yey abaki kuwa juu
Iran amesema akipigwa tu atajibu mashambulizi yalipotokea hivyo ni juhudi za wale wanaom accomodate USA kukataa ama kumruhusi kuanzisha timbwili timbwili twimbwili kny nchi zao
 
Let's see how far this is gonna get!
Trump sidhani kama anajua mwisho wa hili
Sifa mbaya wakati mwingine
Mungu peke anajua
 
Makombora 15 yaliyo hit 11? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani tuisemeaje sasa? Tuilete picha gani?

Houthi waliporusha makombora Saudi Arabia na Saudi mifumo ya ulinzi ya anga anayotumia ni ya Marekani. Kilichotokea Saudi Arabia kinafahamika!

Ngoja nisubiri kwanza, sitaki kuamini haraka haraka!
Jamaa wameshajua kuwa mifumo ya ulinzi ya marekani haina uwezo wa kupangua missiles nyingi kwa wakati moja. na ndio maana jamaa akatuma za kutosha
 
Let's see how far this is gonna get!
Trump sidhani kama anajua mwisho wa hili
Sifa mbaya wakati mwingine
Mungu peke anajua
[emoji23][emoji23][emoji23] trump angekuwa anaziona hiz comment nazan angeachatu masifa yani Leo nikiskia tu nyumba inatetema BC najuwa nibwana mkubwa trump kasha jibu balua kwamasifa yale ya trump nakwambia mpaka tuliopo mbez mwisho tutatetema akijbu mkuuu wa jimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran yawezekana haina vifaa vingi vya kijeshi kama vya Marekani ikitaka ishinde ipigane kama vichaa mfano wale wanaorusha kinyesi mahakamani mpaka jaji hukimbia.Na wao wasisubiri kutafuta kambi za kijeshi za Marekani ndio wapige.Warushe makombora yote waliyonayo kuelekea kila ilipo kambi ya Marekani mashariki ya kati kama vile Saudia na Qattar kama itapiga kwenye kambi au yataangukia mjini si neno waatajuwa upuuzi wao wa kuwahifadhi wauwaji wanaofanyia majaribio makombora yao kwenye miji ya waislamu.
 
Nimeifatilia kmbe ilikua yenyewe bnafsi


Ila nilichofurahi machuma chuma ya US Yamekua Vyuma Chakavu Hayana Madhara Kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni Boeing 737 old model sio Boeing 737 Max
.
Iran anauza wapi ndege tukanunue?
 
Back
Top Bottom