Doh!kwan nan alianza vuruga maamuz ya mwaka 1948 kama sio hao waarabu ?
Na Rabin akauliwa mwaka 1995.Mkuu acha mambo ya kutugawa wa Tanzania kwa msingi wa Imani sie wote ni wa moja ..rejea kwenye mktaba wa Oslo Arafat aliupokea lakini Israel ndo kabadili gia angani na kusema haitambui nchi inao itwa palastine........
Huyo historia hajui hata kidogo.Mkuu acha mambo ya kutugawa wa Tanzania kwa msingi wa Imani sie wote ni wa moja ..rejea kwenye mktaba wa Oslo Arafat aliupokea lakini Israel ndo kabadili gia angani na kusema haitambui nchi inao itwa palastine........
Unajua kuna vitu ukivitafakari haviingii akilini.Mkuu acha mambo ya kutugawa wa Tanzania kwa msingi wa Imani sie wote ni wa moja ..rejea kwenye mktaba wa Oslo Arafat aliupokea lakini Israel ndo kabadili gia angani na kusema haitambui nchi inao itwa palastine........
Wee kafiri mwana kharamu Wacha kuwatusema vibaya waislamuhuo ni msimamo wa ulaya tangu mwaka 1948 waislam huwa akili zinawatoka sana , mmesahau kuwa wazungu waligawanya nchi kuwa mataifa mawili ila nyinyi waarab ndo mlikataa
Ni vita dhidi ya ugaidi na sio wapalestina. Don’t get twistedUsiingize raia wengi kwa ujinga wenu wa maarifa wa ninyi wachache.
Sema ninyi wagalatia ndio mnashabikia vita dhidi ya Palestina.
Kauli yako hiyo nimeizoea.Ni vita dhidi ya ugaidi na sio wapalestina. Don’t get twisted
kila kitu, mixer humo humoMkuu hii hoja imebase kiimani, political, geographical ama kitu gani
Mimi namuunga mkono Netanyahu kwenye vita dhidi ya ugaidi.Kauli yako hiyo nimeizoea.
Wewe na wenzako mna uelewa kuliko Norway,Spain na mataifa ya kizungu wanaoujua na waliohusika katika huu mgogoro toka 1947!?
Yani kama hizi ndio hoja zako aisee basi ni dhaifu sana mkuu.Mimi namuunga mkono Netanyahu kwenye vita dhidi ya ugaidi.
Hayo mambo ya Norway, Spain hayanihusu.
Kumbuka Hamas waliua ndugu zetu watz wawili wasokua na hatia.
Nyie je waarabu hamuwapi duaraSio wakristo wachache ambao ni mazuzu wa tz,kwao muisrael hata akiwaomba duara wanampa sababu ni mbarikiwa wa bwana wao
Hamas wanashindaJambo zuri lafaa kuungwa mkono na wapenda amani wote. Asante nchi yangu Tanzania kwa kutambua taifa la palestina tangu mwanzoni.
Hii kinanchoendelea choote kwa hakika mwishoni Israel itapata every inch ambayo sasa inakaliwa na watesi wake kwa hiyo kwa macho ya wale wengine watafurahia sana kinanchoendelea wakizani hatimaye wanapata ardhi ambayo wamekuwa wakiililia pasipo kujua kumbe huu ndo mwanzo wa kuelekea mwisho wao. Ni wenye macho ya rohoni pekee ndo wanaona hiki nilichoandika hapa.Israel hawajawahi kuwa wanyonge
Wasubirie majibu. YanakujaIsrael imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Hatuna ngumu na muhimu hiiIsrael imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Nimeipenda hiiWe sema tu ukweli kuwa wana elimu na uelewa wa kutosha, hawana mihemuko na chuki za kidini kama watanzania ambao kutwa kuchwa wanaside na Israel au Palestine si Kwa sababu ya objectivity ya jambo lilivyo ila tu Kwa sababu wao ni watu wa Imani fulani.