Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Huu mwezi mgumu sana guys.

Tarh 25 Kimotco ya Arusha ilipinduka, mtoto wa darasa la kwanza agongwa na gari za msafara wa benki kuu maeneo ya kibaoni Singida...
Kibaoni pale ni kama njia ya kutorokea kuna mteremko fulani hivi then unaikuta makiungu hii hapa.pale zinapigwa gia bus hizi mpaka huruma.alafu mnaitafuta manyoni hapo kati ni mwendo tu.mbio siku hizi chamtoto enzi zetu vumbi Singida mpaka Ira ndo unaona lami.

Gari inapigwa gia mpaka unampelekea dereva soda.

Na misa sana hizo safari,ilikua adventure tosha.

Kuna mahali tulikwama hapo kabla ya Mtera kuna jamii km ya wamasai tukala nyama sanaa,Kufika mtera wale perege sisahau kuteremka kuitafuta nyangoro mpaka iringa ilikua kazi kipindi hiyo.yaani humo njiani na wanavijiji mnazoeana tu.

Ni kupiga ulanzi njia nzima .

Dom-iringa siku 2,Singida-Dom siku 2.

Hapo umefungasha mandazi mikate nyama za kukausha
 
Kibaoni pale ni kama njia ya kutorokea kuna mteremko fulani hivi then unaikuta makiungu hii hapa.pale zinapigwa gia bus hizi mpaka huruma.alafu mnaitafuta manyoni hapo kati ni mwendo tu mbio siku hizi chamtoto enzi zetu vumbi Singida mpaka Ira ndo unaona lami...
Umenikumbusha mwaka 1991 likizo ya june... Dom to Ira
 
Hapana si katika harakati za elimu, Nimeitembelea Tz kwa mikoa yake yote isipokuwa mkoa wa mara tu, na wilaya nyingi sana, isipokuwa chache, tarafa chache na vijiji baadhi.
Kwa upole wako mara nyingi nakuchulia ni msukuma. Pole kwa kukubatiza kabila sio lako
 
Back
Top Bottom