Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Aisee zimekuwa nyingi ajali hadi unajikuta unaogopa kusafiri
 

Jamaa pia alikua speed nzuri tu
 
Hao makonda uwa wanapendaga kukaa pembeni ya dereva.
Ikitokea ajali dereva anawapeleka wao kwanza wa upande wa kushoto.
Ukipanda gari hakikisha unakaa siti za upande wa dereva.

Uko sahihi,hata hi ajari dereva alipelekea huko huko,ndio maana waliokufa ni wale wa pemben tupu,huyu abilia alikaa pale seat [emoji575] ile ya kwanza upande wa mlango
 
Magufuli aliweka utaratibu mgumu kwa askari walikuwa wanawajibika, ss wamerudi ofisini. Ukikutana na askari barabarani ujue yupo kutafta hela ya mboga
Magu ndo alifanya askari wawe wala rushwa kupindukia , bora hata ya sasa
 
Imagine kwa sasa route ya Mwanza to Mbeya ni non stop.
Lami n nzuri, usafiri n bomba ikiwa sheria zitazingatiwa.

Kuna kituo flan hv nmesahau jina, kipo shinyanga kusini kdg na mwadui (nahisi n maganzo kama cjakosea)... Ukitoka hapo kwenda mwanza, madereva wanapiga sana viatu mazee. Gari inataman hadi kupaa kabisa.
Hii si salama sana japo tunawahi
 
Jamaa pia alikua speed nzuri tu
Bado point itakuwa n speed ya lory coz tunavofaham ukiovateki, lazima upige kiatu ili urudi kwenye upande sahihi. Hapo huenda hesabu za dereva wa lory zilifeli baada ya kukanyaga wese akakosa pa kuingilia kwa sabab ya jam.
Na barabara nyingi za Iringa na Mbeya znabana kiasi kwamba hakuna sehem ya ziada kwa ajili ya kutelekeza gar ikikushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…