Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Tatizo sehemu kubwa ya ile barabara ni milima na makorongo yani! Imagine umetanua kitonga pale utabana wapi? mlimani au utarudi kwenye korogo ukajimalize kabisa?

Kosa ni kutanua kwenye blind spot tu mtu hatakiwi kutanua mahali ambako hata mbele haoni kuna nini kinakuja, kukosa uvumilivu wa dakika 2 tu kunaweza kugharimu roho za watu ikiwemo yako!

Tujitahidi kutulia barabarani jamani!
 
Sure,
hakufuata taratibu za ku overtake + uvumilivu ulimshinda.
Wapumzike salama ndugu walotangulia kwa uzembe wa mjinga mmoja ambaye yy hakufa
 
Utakuwa sahihi: ukitoka shinyanga, unapita kolandoto-chuo cha uuguzi, maganzo-kimji fulani kimechangamka ikiwa ni matokeo ya kutamalaki biashara ya almasi, unaenda mwadui, mwigumbi-kuna uvukaji wa reli and so on.

Pale roho unaikabidhi mapema kwa kweli, sema ahueni ni kwa vile hakuna miteremko wala kona kali za kustukiza. Na mvaya zaidi ni pori pori zaidi. Hutarajii kukutana na askari wa barabarani, labda tu itokee siku hiyo uwepo msafara wa wakubwa au high way patrol mara moja moja.
 
Japo wakazi wenyewe wanapaita MIGOLI na sio MIGORI

Gari za kwenda Mbeya zinakimbizwa sana aisee na ile njia haiko busy
Hasa wakifikaga kwenye kona za Nyang'oro pale wanatembeaga speed moja ya hatari si hakuna matochi mule so wanajiachia tu ila ndiyo ivo zile kona 152 za muundo wa S, V & Z ni DEADLY sana, ni Mungu tu anatusaidiaga mule.
 
Acha unafiki"kibaoni pale ni kama njia ya kutorokea kuna mteremko fulani hivi then unaikuta makiungu hii hapa". Una uhakika? Au ulimaanisha Ikungi? Uliza wenyeji kuhusu Ikungi na Makiungu zilipo. Acha kupayuka tu [emoji3][emoji3]
 

Hiyo Fikoshi ya Mwanza - Dom tulipataga nayo accident huko huko Singida mwaka jana January 19 wakati naenda Dom, ni Mungu tu alituokoa tulipona wote make zilichomoka tairi zote za nyuma za upande wa kushoto nlpokua nmekaa na mimi sambamba kabisa na tairi hizo huwa napenda kuangalia nje dirishani ndiyo nlkua wa kwanza kuona tukio nikapiga sauti kwa dereva na konda akawahi kufunga break, alkua 80 kph hapo.
 
Exactly,.. Hiko kipande gari zinatembea si kawaida. Zile barabara hazina kona kona af amna askar usalama, n speed ndefu kiasi kwamba chochote kikitokea kinaumana.
 
Hapo n Mungu alikutumia kunusuru maajabu.
 
 
Tanzania bila IGP kufia barabarani kwa ajali , ajali hazitakaa zikosekane barabarani
 
Ndo hapo kuna wakabila km wamasai hivi.wanapaka siagi mwilini wananuka balaa .ila ukiwazoea poa tu.ukikaa nae kwenye siti shauri yako.

Mkuu kuna msiba [emoji23][emoji23]
 
Kabisa mkuu make bila yeye asaiv ingelikua ishaandikwa history nyingi.


Lakini basi zote za Fikoshi ni mbovu tu.
Fikoshi na Premier zina hali mbaya sana.
Ajab n ukute Premier bado inakula Mwanza to Mbeya.
 

Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…