Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

Iringa: Basi la Isamilo lapata ajali kwa kugongana na lori

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ajari mbaya ya basi la isamilo imetokea muda hu,

Ilikua inatokea Mwanza kwenda Mbeya. Inasemekana wamefaliki watu wa nne (wahudumu wa basi,na abilia mmoja)pia kuna majeruhi kadhaa

Ila madereva wote wawili wamepona (aliekua anaendesha basi na lori pia). Ajali imetokea nje ya kidogo ya kijiji cha migori, mkoa wa Iringa....majeruhi wamepelekwa izazi...hospitali ambayo ipo pembezoni kidogo mwa kijiji cha izazi...ambacho kipo mbele kidogo ya jijiji cha migori .

Apdate ni kuwa wamekufa wahudumu wa basi watatu,na abilia mmoja
Wahudumu hao ni dereva mmoja,na makondakta wawili(mmoja wakiume na mwingine ni mwanamke)

Chanzo ni kua dereva wa lori aliovertake sehemu ambapo hapakua salama (palikua na jam ya gari nyingine) kitu kilochosababisha kushindwa kurudi kwenye site yake
Na ndipo walipokutana na basi hilo.

====

Usiku huu Basi La kampuni ya #IsamiloExpress lililokuwa likielekea Mbeya kutoka Mwanza limepata ajali katika kijiji cha Izazi mkoani Iringa baada ya kugongana na lori, taarifa za awali zinadai konda wa basi amepoteza maisha.
 
Huu mwezi mgumu sana guys.

Tarh 25 Kimotco ya Arusha ilipinduka, mtoto wa darasa la kwanza agongwa na gari za msafara wa benki kuu maeneo ya kibaoni Singida.

Tarh 26 Fikoshi (Dom--Mwanza) ilipata ajali ikaua watoto wawil na majeruhi 32 (18 wanaume 14 wanawake) Singida.

Tarh 27 Isamilo.

Hizi ajali zinaturudisha miaka ile ya 2010's kama baadhi ya mambo hayatozingatiwa.
 
Back
Top Bottom