Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Mwamposa nyomi alilopiga Iringa ni kisanga na nusu wameumia.Wao ni sawa kwa muumini kushinda kidimbwi Kula gambe hawana shida na huyo atapokea tu sakramenti , Ila mtu anaeenda kutafuta uso wa Mungu ndio shida
Alafu alivyo muhuni aliwaonyesha namna anavyokusanya mapato 😝😝
Amepata mahela ya kutosha