TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Gentleman nasikia umepita bila kupingwa jimboni kwako, usinisahau.... namba yangu ya MPESA ni ile ile inaishia 43.

Jina litakuja DIVISHENI FOO.
jimboni kwangu hakuna upinzani gentleman, ispokua kitongoji kimoja tu ambacho vile vile mgombea huyo nae amejiengua jana .

hakuna muujiza 🐒
 
Kama siyo wivu wa kimapenzi basi ni majambazi.
 
jimboni kwangu hakuna upinzani gentleman, ispokua kitongoji kimoja tu ambacho vile vile mgombea huyo nae amejiengua jana .

hakuna muujiza 🐒
Eeeh mkuu 🤣😆wameenda wapi je!? Wamekukimbia
 
Yule mwanamke amelawitiwa halafu ndio ameuawa.
Yule mjukuu wake hata sijui kama anajua ' kulawiti " maana yake nini.
Lakini ndivyo alivyosema kwamba bibi yake kalawitiwa.
Halafu pia kasema kada huyu kauawa kikatili sana.
Yule mjukuu,Asifiwe Kibiki, anasema ,"vijana watatu wamefika,sijui walimlawiti wote,maanake sisi tulikimbia kwa woga,ili na sisi tusilawitiwe."
Lakini hizi habari labda zote zitakuwa kwenye gazeti kesho asubuhi.
Lakini, people have a right to know.
Ukiwaambia watu kuhusu haya maovu,watu wanakuwa alert.
Kwa sababu wanafikiria,"If they do it to the green tree, what will happen to the dry tree?"
 
Walimlawiti Tena?
Ni ile laana ya mzee Kibao .
 
Sasa Saa100 awekewe ulinzi wasije kumfanyia walichomfanyia huyu Katib...
 

View: https://youtu.be/_abL_Av-Bvc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…