zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Futa ile kauli ya kifo ni kifo tu, chanzo cha yote ni hio kauli means umetoa amri watu wauane umeshasahau mara hii unaona huruma wakati ulitamka mbele ya kadamnasi kwamba kifo ni kifo tu hukuona madhara ya hio kauli?Kama ambavyo tunapiga kelele haya kutokea kwa viongozi wa CDM, vivyo hivyo kwa CCM.
Haya hayapaswi kutokea katika jamii yetu, tuungane kuupinga unyama huu.
Kauli yako yoyote ni amri sio ombi sasa unapotoa kauli next time jiulize mara 3 what is next nikishasema haya ninayoyasema? Watu wataingia kwenye machafuko ya kuuana huku na huko kwa kauli yako moja tu yenye utata