TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Kama ambavyo tunapiga kelele haya kutokea kwa viongozi wa CDM, vivyo hivyo kwa CCM.

Haya hayapaswi kutokea katika jamii yetu, tuungane kuupinga unyama huu.
Futa ile kauli ya kifo ni kifo tu, chanzo cha yote ni hio kauli means umetoa amri watu wauane umeshasahau mara hii unaona huruma wakati ulitamka mbele ya kadamnasi kwamba kifo ni kifo tu hukuona madhara ya hio kauli?

Kauli yako yoyote ni amri sio ombi sasa unapotoa kauli next time jiulize mara 3 what is next nikishasema haya ninayoyasema? Watu wataingia kwenye machafuko ya kuuana huku na huko kwa kauli yako moja tu yenye utata
 
Wanamalizana wenyewe kwa wenyewe rejea hotuba za Babu, dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana hawa ni CDM hawa ni CCM mkishawamaliza CDM mtaanza kumalizana wenyewe ndani ya CCM ndicho kinachoendelea wameanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe
 
Kuna kafeeling flani amazing.... Haya kazi iendelee ..... Kifo ni kifo tu alisikika.
 
Mdude Nyagali! Mdude Nnyagali, pamoja na yule Askofu anayetembea kila kona na Lissu, wachunguzwe, wametishia kutoa watu roho mara kadhaa
 
Ungempa huo ushauri mapema asingepigwa risasi.
mimi sina haja kumpa mtu moja au wawili ushauri,

mawadha yangu mujarabu na maridhawa huwa ni ya jumla kwa wadau wote muhimu wa JF.

ukipuuza yatakayokukuta ni juu yako gentleman πŸ’
 
mimi sina haja kumpa mtu moja au wawili ushauri,

mawadha yangu mujarabu na maridhawa huwa ni ya jumla kwa wadau wote muhimu wa JF.

ukipuuza yatakayokukuta ni juu yako gentleman πŸ’
Kwahiyo yeye alipuuza ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…