Gentleman,Kwahiyo yeye alipuuza ushauri wako.
Ushetani ukishaingia katika taasisi, kuuondoa ni kazi ngumu sana, labda uifute kabisa hiyo taasisi.Kama ambavyo tunapiga kelele haya kutokea kwa viongozi wa CDM, vivyo hivyo kwa CCM.
Haya hayapaswi kutokea katika jamii yetu, tuungane kuupinga unyama huu.
Huna weledi wa kumshauri mtu kamshauri mkeo.Gentleman,
nikishawajibika kushauri, sina haja kufuatilia nani kazingatia au kupuuzia mawaidha yangu mujarabu kwa wadau wote JF. hilo ni juu yako..
huna haja kuja kunishukuru au kunilaumu gentleman 🐒
hata mama yetu KIFO NI KIFO as of Kibao Mohamed AllyMohamed kawaida kamjibu Twaha Mwaipaya kuwa tukio la utekaji jana ni drama, kwahyo Mohamed Kawaida ajitokeze aseme kuuwawa kwa katibu wa CCM ni drama???
Bimkora once said soKifo ni kifo tu.
Kifo kinauma, lakini nionavyo ni sawa na KIFO CHA KIBAO wa CHADEMA, taratibu tunaelekea mahali kuzuri, ambalo tutaelewana, amesalia mmoja ABDUL, siku ikitokea yule saa 💯 mamake atakoma kusema ni DRAMA!!!🤔🤔🤔🤔Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba 13, 2024 katika Kijiji cha Njia Panda ya Tosa, Wilaya ya Iringa Vijijini nje kidogo na Mji wa Iringa ambako alikuwa akiishi.
Kuwa baada ya kumshambulia kwa risasi alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa ya Tosamaganga ambako amefariki Dunia.
Matukio Daima Media imezungumza kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilolo, John Kiteve amesema tukio hilo limemgusa sana na amesikitishwa na tukio hilo.
Huku Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi hajapatikana ili kuthibitisha tukio hilo, bado Matukio Daima Media inaendelea kufuatilia zaidi.
Chanzo: Matukio Daima Media
==============================
JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi, simu imepokelewa na msaidizi wake ambaye baada ya kuelezwa kuhusu tukio hilo akasema “Kamanda yupo kikaoni, tukio hilo bado hajalizungumzia.”
Pia, Soma:
😂😂Hata huku Kama kapoo hiviDaah sijui kwanini kuna kakitu Nimeka feel moyoni.
Any way poleni wafiwa.
gentleman,Huna weledi wa kumshauri mtu kamshauri mkeo.
Wewe toka kwenye giza njoo nuruni. Chadema tangu lini wakamiliki kundi la wasiojulikana.Chadema ni janga
Mkuu unaijua karma?!!mimi sina haja kumpa mtu moja au wawili ushauri,
mawadha yangu mujarabu na maridhawa huwa ni ya jumla kwa wadau wote muhimu wa JF.
ukipuuza yatakayokukuta ni juu yako gentleman 🐒