TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Huku tunaendelea vema, japo kuna viuzushi vinapita watu wanang'ang'aniana mwanamke, lakini vijikelele vinasikika eti anataka kutekwa na kuuawa, na hao wanaojifanya watekaji wanasema watamrudia, hali ni shwari kabisa
Mbona una hema juu juu Kwa nn?
 
Siku zote tunapiga story na duengi mzee wa sura mbovuu pale Mr nikimchukulia poa ,, kumbe mzee ni mwenyekiti wa ccm wilaya ya kilolo ..

.aisee kweli heshimu kila mtu
 
Itakuwa ni magaidi ya chadema pumzika salama mama
Yaan haya magaidi ya "chadema" yamekua na nguvu sana ,,kumbuka yalivyotaka kumtoa Lissu uhai,kumbuka walivyo mpoteza ben saa 8,kumbuka aqulina,kumbuka yalivyokua yanavamia watu mchana kweupe Arusha na kunyang'nya watu pesa mchana,kumbuka yalivyo mshusha mzee kibao kwenye basi na kwenda kumtesa ,kumsulubishw na hatimaye yakamuua, na Juzi yalitaka kumteka tarimo bonge yaan haya "machadema" na yameonekana kabsa kweny picha na wala hayakamatwi na kipind kile clouds yalionekana kabsa yakifanya uvamiz na yakaachwa
 
Nasikia alikuwa amepanga kugombea ubunge wa jimbo. Ccm hawana huruma, kifo ni kifo 2
 
Haya matukio yakitokea opposition tunasingizia CCM, serikali yake na Green Guard... Je na Kwa hili tulalamike Moja Kwa moja kuwa ni CDM na Redbrigade Yao???
Nafikiri tuliache kuwa halina majibu hadi uchunguzi wa pasipo na shaka yoyote utakapotoa majawabu
Tuliwambiwa eti mkiwamalza chadema mtaanza kuuana wenyew Kwa wenyew!! Ndo utabir unatimia au?
 
Huu mwaka humalizi Bila kuvunjwa Taya Kamanda.
Wakikukosa saaana watafyatua ngoko hizo.
nimelia sana gentleman dah!!🤣

nakuombea Baraka na Neema za Mungu akujalie utulivu nafsini mwako na akuepushie mawazo na fikra za mafarakano , uovu na uharibifu.
Akujalie upendo na moyo wa kuwawazia wengine mema.

Mungu akubariki sana gentleman.
Aimen 🙏
 
Back
Top Bottom