Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

Wamemuonea tu bure mwamba. Mijitu mingi ina makosa barabarani, wakitukazia kuandika faini tunawaona wanoko. Shenzi kabisa muanzisha mada, na hasa kama wewe ndiye uliyechoma
 
Atakuwa anamlaani yule mtu aliyegundua vile vimashine vya kupigia faini,maana zamani hizo zingechnanywa na zile alizokusanya kwa kitabu(Notification)
 
Hiyo chuma ya PCCB afande manyota kaitwa kushuhudia kijana wake akipelekwa stoo
 
Like serious kuna mtu asiyejua kuwa polisi, mahakama na taasisi za serikali zinanuka rushwa ?? Sometimes naonaga kama hii PCCB ni joke nasisi tuonekane na international donors kuwa tunacontrol corruption... wanyongwe kama china Mbwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…