Ni kawaida mbuzi pori akikutana na dumaMbuzi mbona kany'ong'onyea hivyo kimeumana nini?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida mbuzi pori akikutana na dumaMbuzi mbona kany'ong'onyea hivyo kimeumana nini?😂
You are suffering from samiphobia,pole SanaUnaongea kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui anaongea kitu gani!
Yaani TAKUKURU waende kinyume na maagizo ya Rais?!Kuwa serious kidogo basi!View attachment 2088459
Huyo sio wa kawaida ola mla zaidi ya urefu wa kamba yake🏋️💰.Mbuzi mbona kany'ong'onyea hivyo kimeumana nini?😂
Kamba yake fupi yy kaivuta sana imemkatikia shingoni!!!!Kama tulikubaliana kula kwa urefu wa kamba kwann anakamatwa sasa
Kote wanatabia ya kula na kuvimbiwa acha wafungwe kamba ili wajue kula kulingana na urefu wa kamba🤸.Trafki wa Iringa huyo. Pole yake.
😂😂😂Kamba yake fupi yy kaivuta sana imemkatikia shingoni!!!!
Naam hii ni awamu ya sita...Unaongea kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui anaongea kitu gani!
Yaani TAKUKURU waende kinyume na maagizo ya Rais?!Kuwa serious kidogo basi!View attachment 2088459
Sasa atajua hajui🤔.
Anafikiria PGOMbuzi mbona kany'ong'onyea hivyo kimeumana nini?😂
Katika tuko hili , ninajiuliza TAKUKURU wanafanya kazi gani nchi hii?
Kabisa labda atengue kauliSasa atajua hajui🤔.
Wanasema mtanzania janja janja mingi mingi sana🤔.Wanamuonea tu huyo mwamba. Lila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake.