Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

Katika tuko hili , ninajiuliza TAKUKURU wanafanya kazi gani nchi hii?
Takukuru Ni Kati ya sehemu yenye rushwa sana nchini.
Kama unabisha tuambie Ni kesi ngapi wameshinda na mtu kula mvua.
Rushwa tunaziona nje nje
Barabarani(traffic), hospitali na ofisi za wakurugenzi wa halmashauri, miji mpaka majiji
 
Huyu traffic wa barabara kuu, sijui itakuwa njia ya wapi?

Nawaonea huruma wataokuwa wanapita hiyo barabara kuanzia sasa, mitraffiki ilivyo na visasi lazima iandie watu faini za kutosha...
Titawakamatisha kwa uonevu pia, akichimama nchale, akikaa nchale, Hadi wajue kula urefu wa kamba yao🤔.
 
Ni vile tu amekamatwa lkn kila mtu anakula rushwa kwenye eneo lake
 
Huyo jamaa ni fala kabisa unakamatwa vipi kizembe na kukubali kabisa kupigwa self anadhani ndio watamuonea huruma,zipo taasisi yaani akikuharibia wewe Ili ufukuzwe kazi yeye upanda cheo.
 
Kama tulikubaliana kula kwa urefu wa kamba kwann anakamatwa sasa
Wale jamaa akikuharibia Kazi yeye ndo anapanda cheo.
Kadri unavyokuwa mnoko zaidi ndivyo cheo kinapanda.
Ila wanakamata dagaa majizi makubwa mafisadi papa kama kina makengeza kule awaendi.
 
Polise wakifanya Kazi ipasyo Hakuna gari itakayotembea barabarani.
Waswahili ni mabingwa Sana wa kuvunja sheria.
 
Tunatekeleza-Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake-SSH
 
Back
Top Bottom