Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

Ukiona mbongo amakomalia rushwa ujue yeye kakosa tu tu..
Acheni roho mbaya hawa jamaa wakiamua waandike fine gari zitapungua barabarani...

Aliyemchoma mwamba kazingua sana
Iwe iwavyo watu wema bado wapo tu. Utajuaje aliyemchoma ni mhanga mmojawapo.
 
Afadhali limenaswa hilo. Anayewatetea jamaa hawajui vizuri. Ni mijitu isiyo na huruma kabisa. Liache nalo likanyee ndoo pumbavu kabisa.
 
Wataanza kuwakazia

Mwendo fine au kukupeleka mahakamani 😂

Ova
 
Wataanza kuwakazia

Mwendo fine au kukupeleka mahakamani 😂

Ova
sema tu kupelekwa mahakamani ni kupoteza mda but adhabu za mahakamani unashangaa unalipa hela ndogo sana kuliko faini yenyewe.
 
Picha na kichwa cha habari vinaeleweka na vinaendana na kauli ya SSH.

5F2F8E92-9970-4BE4-9D09-4D3D07E6D25B.jpeg

9D04E693-ED71-4BD5-8362-E7C49F0BC5AD.jpeg

C6300DE8-0CBE-4F6C-87B9-EE44578676E1.jpeg

CB77D210-23A0-40DB-BAF3-648757E15D7F.jpeg


=========

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kuhusu picha hizi, Soma:Polisi watoa ufafanuzi kuhusu kusambaa kwa picha ya Askari akiwa na pesa zinazodhaniwa ni za Rushwa
 
Hizi picha zmesambaa sana mitandaoni leo lakini hazina maelezo
 
hiz pcha zmesambaa sana mitandaoni leo lakini hazina maelezo
Maelezo tumempatia IGP Tanzania. Hivyo Angalia ITV habari ya saa mbili usiku.

IGP atalizungumzia iwapo Hakutaka kuongelea chochote kuhusu tukio hili. Akita Kuficha uovu huu.
 
The trickledown effect

Amisa alidhani anaongea na marafiki na ndugu zake tuu

Kumbe anatupa muelekeo wa kijiji chetu

Tufute kabisa na sheria iliyoweka Takukuru
 
Back
Top Bottom