Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

Keshajifunza ka akina ulimboka na Dewji,kuanzia sasa hivi ataufyataaaa ka Sugu.
 
Ingefaa na wanao bambikia case watu washitakiwe kama wahalifu wengine tu, kwani wanarudisha maendeleo ya mtu na pia kurudisha nyuma maendeleo ya taifa,

Pato la taifa linapungua,
Garama ya case
Pia kutweza utu wa mtu
Yaani ikiwezekana adai fidia ya 1.5Trl.
 
Sikumbuki lini Serikali hii iliwahi kushinda kesi yoyote - kuanzia hizi kesi za kipuuzi (fabricated) against wakosoaji wake mpaka zile kubwa ambazo Serikali ilivunja mikataba kindezi, mikataba ambayo walisaini wenyewe na kuifungia kabatini.
 
Serikali ya wehu inabambikia wakosoaji wake kesi https://jamii.app/JFUserGuide.
 
Aibu kubwa sana kwa Mwigulu si walisema alienda kwa hawara yake kule na kuna sms zimeshikwa za kwamba alikuwa anachat na hawara yake halafu akajidai kutekwa. huu ushahidi uliyeyuka yeyuka vipi mahakamani mapaka tunasoma hapa kwamba yuko huru??
 
Tupe update kilichojili mahakamani mpaka akaachiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…