Leo Mahakama imedhibitisha kuwa Nondo hakuwa na hatia katika kesi yake iliyokuwa ina mkabiri
Binafsi na pengne wengi wetu tunaendelea kuachwa njia Panda hasa kulihofia Jeshi letu la police na usalama kwa ujumla katika taifa letu.
Maswali yangu ni haya na kama una mengne unaweza ongezea
1: Nani walimteka Nondo
2: Police walituambia Nondo alijiteka na wakadhibitisha kuwa alikuwa akiongea na Mpenzi wake usiku ule akiwa safarini, je police imeshindwa kushawishi Mahakama kuhusu hilo?
3: Je police wao ndo wahusika wakuu kwenye utekaji au Mpenzi wake Nondo [emoji16][emoji16]?
4: Aliyemstaki Nondo alikuwa na uhakika na uchunguzi kuwa Nondo alijiteka je alimshitaki kupoteza ukweli ya kuwa yeye Mtekaji ndo Mchunguzi so kusiwe na Uchunguzi mwingne zaidi?
5: Kama Nondo kashinda je Tutalajie majibu gani kutoka Police, je wataendelea na uchunguzi au watarenew Case [emoji16][emoji16][emoji16]
6: Je Jeshi la Police limeshindwa na limetuzibitishia sasa kupitia Nondo kuwa halina uwezo wa kuwa kamata watekaji (watu wasiojulikana) [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza