[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utabiri wetu umetimiaMahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili ya kudanganya kuwa alitekwa, na kutoa taarifa za uongo, aliyoyatenda Machi 7, 2018.
Mliopo iringa update muwe mnatupa.
-------------- UPDATE-------------
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemkuta Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru
View attachment 921914
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa tunguli imecheza vyema
Kaa kimya hawako mbaliMaana yake ni kwamba kweli alitekwa.
ina maana mahakama zetu hazipo huru mkuu? [emoji30][emoji30][emoji30]Inategemea na joto la kisiasa
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]ina maana mahakama zetu hazipo huru mkuu? [emoji30][emoji30][emoji30]
Ongea ukweli kuhusu jiwe huko fb au kwenye group za whatsapp ndiyo utaweza kuwa na uhakika kama mahakama zetu zipo huru au laa! [emoji30][emoji30][emoji30]Mahakama zetu ziko vizuri...
It's so hecticNadhani ni walewale waliomteka Mo, Ben Saanane, Azory na mum pyu pyu pyu Tundu Lissu. Ndo maana mpk leo pamoja na umahiri wa kesho letu, bado hawajafahamika na hawafahamiki...
Nadhani ni alliens...
Ila huyu binti kakaa kimtego mahakamani jamaniMahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili ya kudanganya kuwa alitekwa, na kutoa taarifa za uongo, aliyoyatenda Machi 7, 2018.
Mliopo iringa update muwe mnatupa.
-------------- UPDATE-------------
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemkuta Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru
View attachment 921914
naungana na ww kusubiri ufafanuziWajuvi wa sheria,je anaweza kudai fidia juu ya kupotezewa muda na kuchafuliwa? Na pia je Chuo kinaweza kumpokea ili aendelee na masomo?Pia bodi ya mkopo ya elimu (kisheria)bado itakuwa inamtambua(baada ya kutoonekana kuwa na hatia) kama mteja wao?
Kaa kimya hawako mbali