Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

Hil
Hili jamaa bana yani sikuhizi paskodelicious
 
Dogo arudi shule.... elimu ndio harakati mama
 
Naifatilia kwa karibu sana
Duh yaani kaachiwa huru.. kumbe kuna mambo huwa yanakuzwa ili kutisha watu
Sasa Chuo kinafanyaje maana walimchimba mkwara mkubwa sana
kesi zake hazijaisha bado kuna ya uraia bado.
 
Sheria inasemaje kuhusu Abdul kufungua kesi ya kupotezewa muda wake yaani kuishtaki jamhuri, fidia na mambo mengine kama hayo
 
. kuachiwa huru
. kifungo cha nje
. kifungo ama faini(atalipa faini)
Itakuwa ni aina fulani ya kifungo cha nje maana macho yote yatakuwa kwake kwa kila anachokifanya, ili kulinda maslahi.
 
Kaa kimya hawako mbali
Mshana..

Ina maana na humu siku hizi si

salama tena??
Hakuna tena uhuru wa kuongea kama zamani?

Max .. kakubali ..kuuza uhuru wetu..wamemdhibiti?

Tuambizane wakuu maana sisi huku kwetu
ni kuviziana tu!
Nisije changia mada hapa nikaunngwa na waleèe kina ".Uamsho"
 
WAPI MADELU SAHIZI KAINAMISHA KICHWA CHINI PWAAAAAA......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…